Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nandio nilikua namjibu uyo anaesema mwanza kuna zidi arusha ajibambe...
akitokea mkenya anasema kisumu ni better kwa mombasa lazima wakenya wenzie wamjibu!!
tuendelee na topic

jiji la mwanza linaloundwa na manispaa mbili pembezoni mwa ziwa Victoria unataka ulinganishe na arusha kimji kifinyu chenye biashara dolo. jiulize kwa nini majiji ya dar na mwanza tu ndo yana manispaa ndani yake labda utaondoa ujinga
 
Rock city
Instagram post by Rock City Instagram Community_2f - JPG.jpg
Instagram post by Rock City Instagram Community_2o - JPG.jpg
15578669_1043275602448123_1796823042574169020_n_zpsijz2jjbn.jpg
458528_333093720102797_687425502_o_zpsfce188c0.jpg
Instagram post by Rock City Instagram Community_7M - JPG.jpg
Instagram post by Rock City Instagram Community_BG - JPG.jpg
Instagram post by Rock City Instagram Community_5y - JPG.jpg
 
Ety mwanza...haha Chris brown alilipwa $1 million a perform Mombasa unaniambia mwanza?...what is mwanza
Hvi wewe unachokizungumza hua kinatoka kwenye ubongo????? Chris brown ndio kasaidia nn au kaongeza nn mombasa unatakiwa uwe na facts za kuzungumza maana mada zako hata hazieleweki
 
Unatakiwa uwe mstaraabu. Fanya vitu kwa ustaarabu. Unaona unapigwa ban kila wakati halafu unakuja na account nyingine. Uwe mstaarabu basi.
Mblock hii pia nna kibao....nyinyi mkishindwa mnablock wasee hiyo ni uoga ya hali ya juu
 
Nilikwambia toka mchana fungua baba mm maneno ctaki nataka twende kazi naona kimya mpaka sasahivi hehehehhe fungus thread twende kazi
Thread iko na utafute jengo refu kushinda mps plaza iko na 26 floors..usipopata nmekushinda..tafuta Eldoret vs Mwanza kwa threads za kenya
 
Mblock hii pia nna kibao....nyinyi mkishindwa mnablock wasee hiyo ni uoga ya hali ya juu
Tatizo wewe unatoa matusi sana. Kwanini usiwe mstaarabu. Au umelelewa vibaya. Kwani kutoa matusi ndio suruhisho!!? Kama umeshindwa unatakiwa kukaa kimya na kukubali. Kiburi hicho ni ujinga. Watu wastaarabu huwa hawatoi matusi.
 
Thread iko na utafute jengo refu kushinda mps plaza iko na 26 floors..usipopata nmekushinda..tafuta Eldoret vs Mwanza kwa threads za kenya
Nimekwambia fungus thread twende kazi unaogopa nn wewe siunajua kuongea sana fungua thread twende kazi uone kama utatoka hii ndio 2017 haahahhhahahahah
 
Tatizo wewe unatoa matusi sana. Kwanini usiwe mstaarabu. Au umelelewa vibaya. Kwani kutoa matusi ndio suruhisho!!? Kama umeshindwa unatakiwa kukaa kimya na kukubali. Kiburi hicho ni ujinga. Watu wastaarabu huwa hawatoi matusi.
Sasa unadani wewe mstarabu..ety wewe..Annal mstarabu..wewe
 
Sasa unadani wewe mstarabu..ety wewe..Annal mstarabu..wewe
Siyo unadani. Andika unadhani mbona kichwa chako kigumu hivyo kuelewa!? Halafu tafadhali jina langu ni Annael. Litaje vizuri kama linakukera acha kuliandika.
 
Back
Top Bottom