Nandio nilikua namjibu uyo anaesema mwanza kuna zidi arusha ajibambe...
akitokea mkenya anasema kisumu ni better kwa mombasa lazima wakenya wenzie wamjibu!!
tuendelee na topic
Wapi Tuma link..1.5 million za tzNE-YO alilipwa usd1.7 million kuperform ndan ya Rocky City MWANZA, unaniambia nini?
Unatakiwa uwe mstaraabu. Fanya vitu kwa ustaarabu. Unaona unapigwa ban kila wakati halafu unakuja na account nyingine. Uwe mstaarabu basi.Wapi Tuma link..1.5 million za tz
Hii ndio mnaita city....waah nlifungua thread tupambane mwanza v eldy mkatoroka
Hvi wewe unachokizungumza hua kinatoka kwenye ubongo????? Chris brown ndio kasaidia nn au kaongeza nn mombasa unatakiwa uwe na facts za kuzungumza maana mada zako hata hazielewekiEty mwanza...haha Chris brown alilipwa $1 million a perform Mombasa unaniambia mwanza?...what is mwanza
Mblock hii pia nna kibao....nyinyi mkishindwa mnablock wasee hiyo ni uoga ya hali ya juuUnatakiwa uwe mstaraabu. Fanya vitu kwa ustaarabu. Unaona unapigwa ban kila wakati halafu unakuja na account nyingine. Uwe mstaarabu basi.
Nilikwambia toka mchana fungua baba mm maneno ctaki nataka twende kazi naona kimya mpaka sasahivi hehehehhe fungus thread twende kaziHii ndio mnaita city....waah nlifungua thread tupambane mwanza v eldy mkatoroka
Wapi Tuma link..1.5 million za tz
Thread iko na utafute jengo refu kushinda mps plaza iko na 26 floors..usipopata nmekushinda..tafuta Eldoret vs Mwanza kwa threads za kenyaNilikwambia toka mchana fungua baba mm maneno ctaki nataka twende kazi naona kimya mpaka sasahivi hehehehhe fungus thread twende kazi
Wakat mwengine unaonekana huna akili mada zako hazieleweki hahahahhhhhhaWapi Tuma link..1.5 million za tz
Tatizo wewe unatoa matusi sana. Kwanini usiwe mstaarabu. Au umelelewa vibaya. Kwani kutoa matusi ndio suruhisho!!? Kama umeshindwa unatakiwa kukaa kimya na kukubali. Kiburi hicho ni ujinga. Watu wastaarabu huwa hawatoi matusi.Mblock hii pia nna kibao....nyinyi mkishindwa mnablock wasee hiyo ni uoga ya hali ya juu
Nimekwambia fungus thread twende kazi unaogopa nn wewe siunajua kuongea sana fungua thread twende kazi uone kama utatoka hii ndio 2017 haahahhhahahahahThread iko na utafute jengo refu kushinda mps plaza iko na 26 floors..usipopata nmekushinda..tafuta Eldoret vs Mwanza kwa threads za kenya
Sasa unadani wewe mstarabu..ety wewe..Annal mstarabu..weweTatizo wewe unatoa matusi sana. Kwanini usiwe mstaarabu. Au umelelewa vibaya. Kwani kutoa matusi ndio suruhisho!!? Kama umeshindwa unatakiwa kukaa kimya na kukubali. Kiburi hicho ni ujinga. Watu wastaarabu huwa hawatoi matusi.
Trend iko ata nisha post picha mojaNimekwambia fungus thread twende kazi unaogopa nn wewe siunajua kuongea sana fungi thread twende kazi uone kama utatoka hii ndio 2017 haahahhhahahahah
Siyo unadani. Andika unadhani mbona kichwa chako kigumu hivyo kuelewa!? Halafu tafadhali jina langu ni Annael. Litaje vizuri kama linakukera acha kuliandika.Sasa unadani wewe mstarabu..ety wewe..Annal mstarabu..wewe