Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Obama akikuja si mtakua na holiday ya wiki moja
Kwa akili yako unafkiri Obama hajafika Tanzania mumesahau alivokanyaga Tanzania mukaanza kulalamika hahhahahahahahahha😀😀😀
p070113ck-0153.jpg
obama-tanzania2.jpg
 
HaHaha hadi maziwa tunakunywa ya kenya say whaaat?
Sijawah kuyaona tz maziwa yapo kibao fresh na packed...jitambue
 
Mbona we mwenyewe unaishi slum na mko na real estate kibao?
living near the river doesn't make you a good swimmer
Kwan we hujui uchumi wa Kenya umeshikwa na wageni hehehehehehe wakenya wengi masikini sana ndio maana kuna gap kubwa Kati ya poor and rich
 
Lazima muje kwasababu hapa ndipo kuna resources hehehehehe kizuri chajiuza kibaya chajitembeza hahhahahhhahaha
Si resources iko ni juu nyinyi hamuwezi iyo biz hadi mkenya akam hapo..kuna Uchumi,Nakumatt,KCB,Equity etc zote purely Kenyan..lakini Kenya sijui company yyte ya darslum
 
Si resources iko ni juu nyinyi hamuwezi iyo biz hadi mkenya akam hapo..kuna Uchumi,Nakumatt,KCB,Equity etc zote purely Kenyan..lakini Kenya sijui company yyte ya darslum
Uchumi kashindwa kakimbia hahhhahahah
Kuna azam TV, nmb bank, oilcom,lake gas, etc purely tanzanian
 
Back
Top Bottom