Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Hivi bei ya mchele na unga Kenya kwasasa ni sh. Ngapi
mimi hapa Nipo Urambo Tabora kwa sasa
Unga 1kg=1500tsh
mchele1kg=1400tsh
Sasa hadi unajua bei ya unga Kenya..waah nyinyi mnaudaku kweli....but at a ikiwa ivo an average Kenyan is 3 times richer than a Tanzanian
 
Wauliize wanaoishi mombasa watakuambia hehehehe
Ofisi za azam zilifunguliwa msa lakini Ni venye amekuambia kitu kinachoangaliwa sana huku ni Gotv, star times, Bamb tv, DSTV na kadhalika. Azam is not very popular ata hiskiski.
 
Nimeuliza ni Sh Ngapi
maana kasema Kwetu kuna njaa
Unga kilo mbili ni kati ya 145kshs na 150kshs. Ukifanya hayo mahesabu utaona bei ya unga kati hizi nchi zetu mbili hazijaachana na mbali.
 
Unga kilo mbili ni kati ya 145kshs na 150kshs. Ukifanya hayo mahesabu utaona bei ya unga kati hizi nchi zetu mbili hazijaachana na mbali.
Wacha kumdanganya wewe
kwa sasa ni Unga ni Ksh 170
maziwa ni 65ksh
Sukari sasa ni 160 ksh

Chakula kipo juu sana Kenya
Mimi nandugu
najua kila mabadiliko ya Kila siku
na Hii ni bei ya Jana
ngoja Itakapo fikia Mwezi wa 9,10 Patakuwa patamu
 
Kenya kilo moja in sh75 which is 1400 and its way cheap
Utamdanganya mpuuzi
lakini hapo mwanzoni mwa mwezi huu ilikuwa 153ksh unga
na Kwasasa ni 170 ksh
sawa na 3700Tsh

Mwaka huu watu wanalia lia Tanzania
lakini unga haujafikia hata 80ksh
upo kwenye 70-72ksh
 
Utamdanganya mpuuzi
lakini hapo mwanzoni mwa mwezi huu ilikuwa 153ksh unga
na Kwasasa ni 170 ksh
sawa na 3700Tsh

Mwaka huu watu wanalia lia Tanzania
lakini unga haujafikia hata 80ksh
upo kwenye 70-72ksh
2kg ndio sh150 sasa 1kg si ni sh75.yenu kilo moja ni tsh 1500 sasa tofauti ni nini acha ufala
 
Huyo anaishi kijini
sasa lazima aseme hivyo

Walioko Nairobi na Mombasa
wanalia
Hujaenda kule North Horr ,Lokitaung,Kakuro
kule ndio njaa yakufa mtu
niliambiwa unga umefika 200Ksh!!
Unga Kenya ni sh 150 so eti sehemu zingine za Kenya ni Kenya yote hii propaganda za ujinga itakusaidiaje? na serikali imeipungua ikue sh130...per 2kg yenu nimeona kilo moja ni Tsh 1500/20 = 75 ksh per kilo
 
Wewe hata nchi yako huijui!!
Nikuulize bei ya petroli Mombasa ni sawa na kisumu!!

umesha fika Kakuro?
au Lokitaung
Jitulize wewe
Usikurupuke
 
Back
Top Bottom