Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi wins by huge margin. Clearly apart from the three skyscrapers In Dar,, the whole town looks like Kabul. Nairobi 's weakness is Kibera which Dar' s people keeps hitting really hard but the good news is, it's being upgraded... that doesn't go without saying though that Dar has 70% of its people living in slums.The bottom line is These are African cities which have a long way to go in improving the lives of the people living in them. Let's hope in 20 years time we shouldn't be seeing things like Manzense or Kibera, Tandale or Mathare but well organized living places. Challenge goes to governments of both countries.
 
dar imepigwa kwa over 20 buildings na nai,,,haiingii nai kwa roads,flyovers na interchanges,ongoing projects za skyscrapers nai ni nyingi kuliko bongo zenye ziko above 20 floors,nairobi is well planned kushinda dar,nai has better gated communities and apartments,nai has better malls than dar...kitu dar iko mbele ni brt peke yake.case closed
 
lets think straight for a second here......
middle east wana import sana kahawa na majani chai.... kukaa kujipiga kifua kwamba bila sisi (exporter) middle east hawajanywa chai ni ujinga. zaidi zaidi ni kutumia nafasi hiyo hata kutengeneza matangazo yanayo sisitiza flani manufaa ya chai thereby utaongeza watumiaji na in the long run maximum profits.
nikirudi kwenye post yako, wewe na watanzania wengi tunachofanya ni kujipiga kifua kwamba bila sisi wakenya hawali which is rather stupid in my view.
Nchi ya kenya ni kame kwa asilimia zaidi ya sabini, wananchi wanazidi kuongezeka na mahitaji ya chakula pia yanaongezeka, hili ni soko zuri sana kwetu sisi tuliejaliwa asilimia kubwa ya nchi ina rotuba na mvua za kutosha kustawisha mazao yote, sasa je ipi bora, kufanya kilimo cha kisasa, kuiongezea thamani kwa kupakia vizuri na kuexport as finished/processed foodstuff, au kukaaa miaka yote kujipiga kifua kwamba bila Tanzania wakenya wanakufa njaa wakati hao wakulima bado ni masikini kama walivyokua miaka 20 iliopita???
Kwenye nyekundu umesema, "ng'ombe yanavyo ingia Kenya,". Leo hii, kama mtumiaji wa sausage, naamini ushakutana na sausage za farmers choice au Halal corned beef (kitu safi sana!) kwenye supermarket, hata kama wewe hutumii ila wapo watanzania wanaotumia na faida inaenda kenya, huku wewe unajipiga kifua kupeleka ng'ombe kenya.
Mashudu unayoongelea wanatengenezea lisho la hao ng'ombe na mwisho wa siku unakutana na maziwa ya brookside, UHT, na KCC kwenye shelf za supermarket kwa bei sawa au tofauti ya sh100 na azam/tanga fresh za hapa hapa.
Kiukweli inafaa tuamke, our standards are so low, tunaridhishwa na vitu vidogo vidogo sana. tukisharidhika ni wendo wa kupiga vifua na kupost picha za kibera na kuponda chochote kizuri! jamani!!!!!...
 
You are very mature man...thumbs up[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Acha upotoshaji
Mada ni kwamba mkenya kasema wana lead kwenye agriculture na mm ni kamwambia wana lead nini maana almost chakula chote wanatoa Tanzania
Na ww unamawazo ya Tanzania ya miaka ya tisini hii ni Tanzania mpya
 
Acha upotoshaji
Mada ni kwamba mkenya kasema wana lead kwenye agriculture na mm ni kamwambia wana lead nini maana almost chakula chote wanatoa Tanzania
Na ww unamawazo ya Tanzania ya miaka ya tisini hii ni Tanzania mpya
Chakula gani tunatoa Tanzania????we unaota wewe..tea,coffee,horticulture,dairy,poultry inatupea mabillioni na kama unataka link ntakupea
 
SGR yetu iko ready yenu hamjaanza
Agriculture Kenya ni leading tea,coffee,milk,flowers etc nyinyi hakuna ki2 mnalead
So hakuna kenye mnachapa Kenya ni population pekee na land sizs
Acha upotoshaji
Mada ni kwamba mkenya kasema wana lead kwenye agriculture na mm ni kamwambia wana lead nini maana almost chakula chote wanatoa Tanzania
Na ww unamawazo ya Tanzania ya miaka ya tisini hii ni Tanzania mpya
Wa kuelewa nilichojibu ataelewa. kama unatafuta ubishi kwangu, I wount give you the satisfaction.
 
kwanza hii ibadilishwe ni 40 floors πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndio tuendelee munaleta ujanja hapa
View attachment 495124
Tulifikia wapi.....
Tuendeleeni basi....... !!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…