babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Nonsense , unajua vizuri kwamba 70% ya makazi Dar es Salaam ni makazi aina ya slums alafu mnapenda sana kuimba ati Dar ndio jiji kubwa zaidi East Africa.
Dar es Salaam ndio yenye slum kubwa east africa.
Been in Nairobi for two days sinaenjoy chochote
Naskia kibera ni 3rd largest slum in nairobi, kumbe kuna babu kubwa zingine zinaendelea kuipiku kibera
Bora uswaz kuliko slums.Endelea kuskia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]slum kunaishi wazamiaji waliokosa makao na pia kushindwa kupata hata hela ya maana..ila uswazi wengi wanamiliki hayo majumba na wana hati
Bora uswaz kuliko slums.
Watu wa slums wanaishi dump site.
Ndio muwahamishe sijui mtawahamishia wap mafukara wale??!!Kw sababu hyo ardhi hawaimiliki...so anytime mtu akijiskia anahamishwa
Ndio muwahamishe sijui mtawahamishia wap mafukara wale??!!
Dar es salaam pekee ndo mji wenyewe uswazi duniani kote,hakuna mji mwingine,Bwahahaaaa!!!kwhyo ineishinda dar..manake nynyi mko na uswazi wao hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna wajichanganya....
Nitajie city yenye uswazi na mm nikutajie za slums
Unaongea kuhusu Sauti Sol? Those are artists and artists can do or say anything to increase their fan base in a particular region (it's called target audience). Naamini hata wewe hapa ushakuwa shabiki wao mkuu kutokana na hayo maneno yao. Lakini mimi nakumbuka kwamba there's a time a head of state from a neighboring country referred to Nairobi as the 'Europe of Africa'. He even urged his countrymen never to borther going to Europe because Europe is just here in Nairobi. That they just need to cross the border and reach Europe! Tafakari hayo
Analeta enzi za Nyerere huyu mdosho vipi???That was a speech delivered very long time ago.
When the tall buildings were only found in Nairobi. Sasa hata Dar kuna majengo ya kutosha.
You are trying to sound like a real economist and I can see your fellows clapping and stamping their feet for you. Well, you are just a wannabe. A fellow who the word economics is as foreign to as the profession itself. In my entire life, I have never seen a case where having a stronger currency is a disadvantage and having a weaker currency is a blessing in disguise. If that were the case, Zimbabwe would be a flourishing African state used as a case study as far as development is concerned. Everything you are saying here is just hot water, empty rhetoric meant to hoodwink your fellows and massage their egos.
Saying that $500 million can do more in Tanzania than Kenya because Kenya has a stronger currency is baseless argument that lacks an iota of truth in it. That money can only do more in Tanzania if the cost of raw materials and other factors of production are cheaper in Tanzania than Kenya, but not because Tanzania has a weaker currency. That is stupid argument and way of looking at things. How does a stronger currency result to high cost of production as you imply above? What economic explanation can support this argument? High costs of production come as a result of many factors, key among them being taxation, cost of electricity among many other things. I have never seen a case where having a strong currency is a factor leading to high cost of production.
Wadanganye watanzania wenzako, sio sisi!
Dar es salaam pekee ndo mji wenyewe uswazi duniani kote,hakuna mji mwingine,
Ila slums ziko nairobi pekee!!! Na kibera is the father of all slums in the world
Nani asiyejua kwamba nairobi is the champion of slums???Bwahahaaaa!!naona umekua mnynge kweli...haya pole yako
We umekuja uza vitunguu wataka enjoy nn sasa na wakati jiji huliwez..
Nairobi iwachie wajanja na wenye hela...unafikiria ukifika nai utakaa kijiweni upate umbea wa simba na yanga
Sasa wakenya wakiama Nairobi si kutakuwa wageni watupu maana wakenya wazawa wana ishi slum ,siungi mkono kuwafukuza wakenya Nairobi napinga napinva napingaMafukara wapi na wana makwao...shobo tu zile za kuzamia mjini enzi zile...
Kampala is so beautiful,hatulinganishi majengo ya waganda na mchina house..Westlands Vs Kampala village centre[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1200987View attachment 1200988
HIVI NAIRONI NI FLYOVER AU MIFANO YA MADARAJA MAFUPI TU?Hivi lini Dar iliishinda Mombasa, maana ndio level yake, ama kwa kujenga majengo mawili mkaanza kutunisha misuli na kujiona mumekaribia hadhi ya kupimana na Nairobi.
Mjenge walau superhighway moja ili muwaze kuitaja Nairobi, sio hapo mlijenga flyover moja ikawa kivutio cha watalii Tanzania yote, ilhali flyover za Nairobi tumezichoka.
Hivi unafahamu uchumi wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Tanzania yote, yaani muungano wa nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar.
Nooooo usiisingizie Dar wakati dunia yote inatambua kuwa kibera is the third biggest and worst slum in the world,korogocho,kawangware and mathare follow after himself kibera...Nonsense , unajua vizuri kwamba 70% ya makazi Dar es Salaam ni makazi aina ya slums alafu mnapenda sana kuimba ati Dar ndio jiji kubwa zaidi East Africa.
Dar es Salaam ndio yenye slum kubwa east africa.
Wakenya toeni uchafu wenu wa kijingaHebu msifananishe Nairobi yetu na vitu vya kijinga, Kampala hawana hii bus terminal ya kimataifa mpaka naingia kaburini ππππ