[emoji23][emoji23][emoji23] ww kuta vitu hizo. Uki come Kisumu upitie side za Nyalenda huku tuna stay watu wa nguvu.unamanya mama wanjiru huwanga busy na mbogi ya kimonyoski time nyingi, halafu hujipatanga ako maji kidedlee Jo! But usiingize njeve budda
Hizo vitu zako nitazisaka time nikiwafree jo
Now nipo na chipipi moja munono kidedli jo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabora ndiyo ghasia gani.. uko Dar nasikia hamnanga slums! na mnachakula mobAhahahah asee hi Tabora kabbisa.
Jinga wewe Re Dimmer ,si Manzese na Temeke kunakaa hivi pia mazingira na nyumba mbovu?
Uncle Tom (Tony254) say something please about our city in the sun of Nairobi as we can see West appealing there ππππππ
ππππ Huko naget mko na mnyweso ya chang'aa mob, milo za buzaa na takataka zingine, siwezani nazo jo[emoji23][emoji23][emoji23] ww kuta vitu hizo. Uki come Kisumu upitie side za Nyalenda huku tuna stay watu wa nguvu. View attachment 1199034
Wa Tz mnakuwa na umama, ebu ni show place unayo stay hapo Dar. Sai nipo Kisumu, huku ma taxi ni ma bikes.View attachment 1198986
Huko kuko vi cool vi deadly, pia ma manzi wa side hiyo wako na njaro poa. Rent inaendaje lakini? Ebu chekiana na keja hiyo hapo pembeni ya hiyo bush uniambie ni soo ngapi nije nipeane na landlord.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huko naget mko na mnyweso ya chang'aa mob, milo za buzaa na takataka zingine, siwezani nazo jo
Come tujiwekele bangla or rukuna pako cool kama unavocheck hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko na chakula km zote buddah uwe unakunjanga kuchukua ukipenda man.Tabora ndiyo ghasia gani.. uko Dar nasikia hamnanga slums! na mnachakula mob
Umefika Temeke ww????Jinga wewe Re Dimmer ,si Manzese na Temeke kunakaa hivi pia mazingira na nyumba mbovu?
Kampala labda waifananishe na Mwanza, kwa levels za Dar na Nairobi haijafika bado.Mi ni mtanzania halisi na mwafrika mashariki mbobezi...
Siweki ushabiki au uchachandu ila ukweli ulio dhahiri...
Bila kupepesa macho wala kuona aibu
1. Nairobi
2. Dar Es Salaam
3. Kampala
4. Kigali
5. Bujumbura
Nimemaliza
Wewe hujuangi.. Kampala aina Airport coz ni milima mingi. Nai Vs Kampala ni fairKampala labda waifananishe na Mwanza, kwa levels za Dar na Nairobi haijafika bado.
Hata ukiangalia kwa kipimo "quick and dirty" cha skyline tu utaona Kampala ipo ligi daraja la pili na haiwezi kushindana ligi daraja la kwanza zilipo Nairobi na Dar.
Kampala as far as I know, hata uwanja wa ndege wa kimataifa tu mpaka uende Entebbe.
Usijali jirani nita kujanga.. pia nasikia uko kuna ma jobs mob. Huku tuna amka asubuhi nakwenda tao tukiwa tume vaa ma coat ya suit na suruali huku tuna zungusha mabahasha kwa ofisi za wenyewe.Tuko na chakula km zote buddah uwe unakunjanga kuchukua ukipenda man.
Naona raia wa Nairobi wametelekezwa π
ππππ Itawachukua Kampala several centuries kutufikia Nairobi hapa
Land lord wa hiyo kejani hubamba mukuchu kwa force sana, halafu side ime jaa na masafara wa kutupwa joππππHuko kuko vi cool vi deadly, pia ma manzi wa side hiyo wako na njaro poa. Rent inaendaje lakini? Ebu chekiana na keja hiyo hapo pembeni ya hiyo bush uniambie ni soo ngapi nije nipeane na landlord.View attachment 1199086
Kaka na ww kuhusu Uganda kutangazwa kuwa best enterpreneual nation worldwide unaamini????mkuu mimi ni mtz, ila unapoteza tu mda wako kwenye hzi mada zishakua nyingi sana huku na akuna aliepata ata kumi kwenye izi mada labda jamii forum tu wenyewe ndo wamepata faida: acha kupoteza mda wako, kama hujawahi kwenda nairobi we tafuta kazi ufanye, dar haiwezi kufika level ya nairobi mwaka huu: wala miaka kumi, remember na wao hawajasmama, ingawa wana changamoto zao za apa na pale ila ukwel ni kwamba wapo mbele sana kuanzia currency yao mpaka infrastructures: bado tuna kazi kubwa kufika walipofika, na kama wananchi hawafanyi kazi sasa kufika izo level tutabaki tu uku kwenye forum, mwisho wa mada: i can hardly say dar inaweza kua ya tatu kwenye miaka ya karibuni, ulishawahi ona wauganda wako wanabishana uku? ila mwaka huu wametangazwa as the best enterprenueal country in the WORLD not in AFRICA but in the WOOOORLD:
mkuu mimi ni mtz, ila unapoteza tu mda wako kwenye hzi mada zishakua nyingi sana huku na akuna aliepata ata kumi kwenye izi mada labda jamii forum tu wenyewe ndo wamepata faida: acha kupoteza mda wako, kama hujawahi kwenda nairobi we tafuta kazi ufanye, dar haiwezi kufika level ya nairobi mwaka huu: wala miaka kumi, remember na wao hawajasmama, ingawa wana changamoto zao za apa na pale ila ukwel ni kwamba wapo mbele sana kuanzia currency yao mpaka infrastructures: bado tuna kazi kubwa kufika walipofika, na kama wananchi hawafanyi kazi sasa kufika izo level tutabaki tu uku kwenye forum, mwisho wa mada: i can hardly say dar inaweza kua ya tatu kwenye miaka ya karibuni, ulishawahi ona wauganda wako wanabishana uku? ila mwaka huu wametangazwa as the best enterprenueal country in the WORLD not in AFRICA but in the WOOOORLD:
Land lord wa hiyo kejani hubamba mukuchu kwa force sana, halafu side ime jaa na masafara wa kutupwa jo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rent hapo haikai zaidi ya five banga, you know side hiyo ni ya makapurwa na lasma kuwe na mapuuupa saa yooote!! Wasee hawapafeel jo