Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Bado sana kufikia hatua ya kunitisha mimi. Kwanza wewe unatakiwa uwe na adabu kwangu .acha kukurupuka kama kuku.😀😀.uwezo wako ni mdogo sanaAchana na Chadema wewe mjinga kabla hatujakulipua ukimbie jf milele, kwani mambo ya ccm yamekuishia?
Nakupa onyo la mwisho
Endelea kushobokea ChademaBado sana kufikia hatua ya kunitisha mimi. Kwanza wewe unatakiwa uwe na adabu kwangu .acha kukurupuka kama kuku.😀😀.uwezo wako ni mdogo sana
Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Nakuunga mkono Komredi. Wasipofanya hivyo ni hasara kwa taifa kutoa ruzuku kwa chama cha watu wasioelewana. Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA.
Bado sana kufikia hatua ya kunitisha mimi. Kwanza wewe unatakiwa uwe na adabu kwangu .acha kukurupuka kama kuku.😀😀.uwezo wako ni mdogo sana
Ila kamanda umepoa sana siku hizi....mashambulizi yamekuwa makali lakini unayajibu kinyonge😕Wewe kama nani?
HahahahahaNdugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
ni muhimu sana akavuliwa uongozi na akasimamishwa uanachama kwa muda, amefikia kiwango cha mwisho zaidi cha kuvumiliwa, utovu wa nidhamu anaoonyesha, kwakweli umevuka mipaka ya kiungozi pale chadema...
Sipambani na wajingaIla kamanda umepoa sana siku hizi....mashambulizi yamekuwa makali lakini unayajibu kinyonge😕
Sipambani na wajinga
Lissu hana uchunguvna chadema et?? iv kwann kwann mods unazuia matusi Kwa nyumbu kama Hawa!? sio matusi tu na viboko pia wanastahili,Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Mpumbavu kama wewe ukuyeshindwa maisha hadi umeamua kuwa chawa unapateje uhalali wa kuishauri Chadema? Tengeneza kwanza maisha yako siyo unaishi kwa matumaini ya kutupiwa makombo.Ndugu zangu Watanzania,

Endelea na ujinga wako uliokujaa kichwaniEndelea kushobokea Chadema
Hunaga akili kabisaKuelekea sikukuu ya X-mass naona unawashwa kule kwenye chakula cha P.Diddy.
Maisha yamekushinda wewe kwa ujinga wako.Mpumbavu kama wewe ukuyeshindwa maisha hadi umeamua kuwa chawa unapateje uhalali wa kuishauri Chadema? Tengeneza kwanza maisha yako siyo unaishi kwa matumaini ya kutupiwa makombo.
Kwani CHADEMA ikichafuka wewe inakuhusu nini?Kadi yako ya CHADEMA ni namba ngapi?Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Wamechelewa, kwa sasa wapo kipindi Cha uchaguzi, kakichafuaje chama?Ndugu zangu Watanzania,

Mimi ni mlipa kodi ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa MawazoKwani CHADEMA ikichafuka wewe inakuhusu nini?Kadi yako ya CHADEMA ni namba ngapi?
Msongo wa mawazo umekujaa wewe unayekomaa na yasiyokuhusu.Mimi ni mlipa kodi ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo