Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Mimi sina msongo wa MawazoMsongo wa mawazo umekujaa wewe unayekomaa na yasiyokuhusu.
Usingekuwa unaandika insha ndefundefu kama kichaa anaongea peke yake majalalani.Mimi sina msongo wa Mawazo
gentleman,Ccm subirin mkutano wenu mkuu January
Mambo ya chadema waachieni wenyewe
Nyie hamkemeeani kwa sababu mnapora nchi CDM wanakemeeana kwa ajili yakoponya Chama chao na nchi. Jaribu kusema kweli kwenye chama chenu kama utaishi. Chawa na wapiga tarumbeta za kuusifu ndiyo sifa zenu CDM mfale akiwa uchi hawaogopi kumwambia mfalme upo uchi siyo nyie mnaremba.Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Chadema hawatakuelewa kisa tuaina ya mada zako,lakini umeongea pointAcha ujinga wako hapa wewe uliyekosa adabu.
Chadema inatuhusu watanzania wote wewe,ila ukweli lazina usemwe Lissu anakidhalilisha chamaWewe ccm ya chadema yana kuhusu nini?. Chadema ilishajifia ni maneno yenu Sasa hayo ya kwao yanakuhusu nini wakati furaha yako ni kifo chake?. Tulia Wacha walaruane.
PumbavuNdugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Unashauri kama Nani??Ndugu zangu Watanzania,

Kama ni mweupe kichwani huwezi ukaandika kama mimiUsingekuwa unaandika insha ndefundefu kama kichaa anaongea peke yake majalalani.
Kama Mwashambwa LucasUnashauri kama Nani??
Itakuwa yupo anabubujikwa na machozigentleman,
hakuna mchambuzi mbobevu na muandamizi wa masuala ya kisiasa anababaika na chadema au chama kingine cha siasa,
Ila anawajibika kuelezea, kuchambua na kuwafafanulia wadau mambo muhimu yanayojiri ndani ya vyama vya siasa, wala hakuna haja ya kukaa kimya ikiwa kuna jambo la kishirikina kama wadau..
Kwahiyo hakuna haja ya sijui kusubiri nini, wala hakuna sababu ya kuwaachia wengine chochote pekeyako hususani kuhusu mambo ya umma ππ
Kwa hoyo ulidanganywa ukiandika maneno mengimengi yasiyo na maana ndiyo utaitwa mwenye akili njema?Ushamba mzigo.π€£π€£π€£π€£π€£Kama ni mweupe kichwani huwezi ukaandika kama mimi
Tufanye ametumwa na magaidi CCM haya bubujikwa na machozi ya furaha.Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
gentleman,
hakuna mchambuzi mbobevu na muandamizi wa masuala ya kisiasa anababaika na chadema au chama kingine cha siasa,
Ila anawajibika kuelezea, kuchambua na kuwafafanulia wadau mambo muhimu yanayojiri ndani ya vyama vya siasa, wala hakuna haja ya kukaa kimya ikiwa kuna jambo la kishirikina kama wadau..
Kwahiyo hakuna haja ya sijui kusubiri nini, wala hakuna sababu ya kuwaachia wengine chochote pekeyako hususani kuhusu mambo ya umma ππ
Gentleman,Sijawahi kuona ukiandika Negative za watu wa ccm
Makubwa tena hayaKama Mwashambwa Lucas
Acha ujinga wako hapa weweTufanye ametumwa na magaidi CCM haya bubujikwa na machozi ya furaha.