Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

Hatukuona Waandamanaji walitii sheria bila shuruti wale wachache wamechukuliwa kuhifadhiwa Polisi Kwa Ajili ya usalama wao.

Nawapa kongole Polisi 😂😂

Unafikiri waandamani wangekuwepo Polisi wangetumia NGUVU?

Hao 14 waliokamatwa sio waandamanaji?

Jambo gani linalokufurahisha katika Sakata hili?

1. Je kutokuelewana baina ya Serikali na CHADEMA?

2. Kutokuelewana kwa Jeshi la Polisi na waandamanaji?

3. Kutokuona maandamano ya Kutetea haki za waliotekwa na waliouliwa?

4. Kuzimwa kwa maandamano?
 
Nimefurahi sana kuona kwamba Wananchi wamewapuuza vibaraka wa Wazungu.

Wale wachache wakiokaidi wamepelekwa mahala salama Kwa Ajili ya usalama wao.

Nawapa kongole Polisi Kwa uweledi wao.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimefurahi sana kuona kwamba Wananchi wamewapuuza vibaraka wa Wazungu.

Wale wachache wakiokaidi wamepelekwa mahala salama Kwa Ajili ya usalama wao.

Nawapa kongole Polisi Kwa uweledi wao.

Sio kwamba wananchi wameogopa kitisho cha Polisi?

Maandamano yaliyopuuzwa ni Yale ya Wakati ule lakini haya yamepewa uzito mkubwa Sana
 
Sio kwamba wananchi wameogopa kitisho cha Polisi?

Maandamano yaliyopuuzwa ni Yale ya Wakati ule lakini haya yamepewa uzito mkubwa Sana
Kama yamepewa uzito mkubwa uliwaona Waandamanaji?

Kwa nini waogope kama ni halali? Mbona kipindi kile hawakuogopa na Polisi Hawa Hawa walikuwepo?
 
Sasa kama hawana mitutu watafanyaje?
Unafikiri uwiano wa wananchi wanaoiamini serikali na wale wasioimani serikali ukoje?
Je, unaelewa maana ya msemo wa Waingereza nilionukuu hapo juu wa kwamba "there is more than one way of skinning a cat."?
Kama unaelewa maana ya msemo huu nadhani mada hii kwa Sasa inafaa kufungwa, no more discussion is needed.
 
Ndio maana Mimi sijayapinga na nimeishauro serikali nini chakufanya, kutoa HAKI

Ila Maandamano yanayohamasisha kuangushwa kwa serikali hayo napinga kwa sababu hayapo kisheria. Yaani sidhani kama kuna sheria inaruhusu serikali kuangushwa kwa maandamano.

Kama Samia hafai Mwakani sio mbali, wapige Kura. Kama atashindwa sawa. Kama atashinda sawa. Kama ataiba kura hiyo tutaipinga. Kama mpinzani atashinda kwa kuiba kura tutaipinga
Sahihi, walichojichanganya CHADEMA ni kuweka bayana intention ya maandamano kuwa ni kuiangusha Serikali kwa kuweka kauli mbiu kwamba Samia must go...
Kuruhusu maandamano ya maudhui ya Samia must go ni sawa kuruhusu uasi kufanyika nchini jambo ambalo hakuna Serikali duniani.
Baada ya hotuba Mh Rais waliacha kutamka Samia Must Go wakayapamba kuwa ni maandamano ya amani ya kuomboleza mauaji. It was too late maana. Serikali ili kuwa imeshang' amua maudhui ya maandamano hayo hatakama yamepamba kuwa maandamano ya amani.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sio kwamba wananchi wameogopa kitisho cha Polisi?

Maandamano yaliyopuuzwa ni Yale ya Wakati ule lakini haya yamepewa uzito mkubwa Sana
Kwa kigezo kipi?Na yale yalipuuzwa kwanini?Wakati walioandaa maandamano ni hao hao.
 
Kwa kigezo kipi?Na yale yalipuuzwa kwanini?Wakati walioandaa maandamano ni hao hao.

CHADEMA Bado imeshindwa kushawishi kundi Kubwa la Watanzania. Na hata hao walionao Bado wapo mguu ndani mguu nje.

Viongozi wenyewe wa CHADEMA hujaona wakikikimbia chama chao na kuhama? Hiyo haikupi picha jinsi hali ilivyo
 
Back
Top Bottom