Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake kufanya vurugu na kuvunja mlango na kioo cha dirisha la ofisi ya meneja msaidizi wa uwanja wa CCM kirumba.
Taarifa ya TFF haisemi wala kulaani kiongozi wa serikali kuvamia na mabunduki uwanjani na kwamba yeye ndio chanzo cha yote hayo.Very sad.
Taarifa imeandikwa kishabiki sana, Simba imeadhibiwa kwa sababu walinzi wake walifanya vurugu, Je ni kweli hao walikuwa walinzi wa Simba? Mbona viongozi wa Pamba waliokuwa ndani ya ofisi hawajaadhibiwa? Kuna ushahidi gani kama wale walikuwa walinzi wa Simba?
Yaani hata kama klabu inajitahidi kujiepusha na mafaini yasiyo ya msingi inatafutwa sababu yoyote ile ali mradi mapato yapatikane.Shame on you.
Naishauri Simba haya mambo lazima yafike sehemu yapingwe kisheria, hoja ya kwanza ni kupinga wale waliofanya vurugu kuwa walinzi wa simba, vinginevyo iwekwe video clip ushahidi uonekane live na yule kiongozi wa mkoa aonekane pia.Kwanini Simba na Yanga ndio wageuke kuwa chanzo cha mapato cha TFF na Bodi ya Ligi?
Yaani mm nimeenda uwanjani kucheza na Pamba, kanuni zinanipa fursa siku moja kabla ya mchezo nitumie uwanja, siku hiyo wahuni wananivamia, hawataki kutoka uwanjani, kwanini nisijilinde? Self defence is legally acceptable.