Naishauri Simba kukata rufaa kupinga uamuzi wa kupigwa faini ya milioni 5, uonevu ufike mwisho sasa

Kikubwa point 3.haya mengine yatakuumiza tu kichwa.walipe.karma is real
 
Hivi wewe ulikuwepo katika tukio?
 
Ma-last born wa taifa, ni mwendo wa kulalamikia kila kitu;
1. GSM anadhamini timu nyingi
2. Hersi anaharibu ligi
3. Tutahamia Burundi
4. Arajiga
5. Tatu Malogo
6. Kayoko
7. Bahasha
8. Yas (nyashi) pesa
9. TFF
10. TFF
11. TFF
12. TFF
 
Sisi kama viongozi wako wa timu, tumekubali kuilipa hiyo faini. Maana ni kweli makomandoo wetu walifanya vurugu na uharibifu wa mali. Kwa hiyo kuwa tu mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…