Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.

Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.

Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.

Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati inatakiwa kufanyika kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana kabla ya hali ya kitume jimboni humo kua mbaya na ngumu zaidi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Shughuli pekee ya kitume kwa sasa ya TEC ni kudai haki ya wahanga wa October 2025!na waliopotea na kuwekwa gerezani kinyume cha sheria!!

Hayo engine mapadri watayafanyia kazi!!
 
Umeleta uzi kama wimbo wa mchakamchaka.
hujaeleza kuna tatizo Gani hapo jimboni Kondoa
 
Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.

Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.

Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.

Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe hata wehu nao hutoa ushauri
 
Kondoa ni ya waislam siyo lazima mng'ang'anie eneo hamtakiwi nyie wafuasi wa Roma.
 
"Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume.. " inanini?
ni muhimu sana TEC wakalitazame na kulishudia wenyewe gentleman na itapendeza.

In fact,
wakifanya utafiti mdogo tu itawasaidia sana katika namna ya kulihuisha jimbo hilo katoliki la Kondoa 🐒
 
Shughuli pekee ya kitume kwa sasa ya TEC ni kudai haki ya wahanga wa October 2025!na waliopotea na kuwekwa gerezani kinyume cha sheria!!

Hayo engine mapadri watayafanyia kazi!!
Kwa Kutoa Tamuko La Kurasa NNE bila MANENO yake yaliyomo!!? Siyo..?
 
Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.

Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.

Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.

Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati inatakiwa kufanyika kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana kabla ya hali ya kitume jimboni humo kua mbaya na ngumu zaidi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe tlaahtlaah ni umwale!
 
Weka wazi kama shida ni nini... Chupi/Boxer/Shela/Kanzu/ Chakula nk ..kama vimechakaa/ hakuna, tujue na tutachanga...na vya ndani sana vile uwe tayari kutueleza hapa ulivijuaje..Tatizo la Kiuchumi Kwa Sasa ni la Kitaasisi Duniani kote siyo Jimbo hilo la Kondoa tu..sema kiwango cha ukata kinatofautiana.
Kondoa Uislamu mwingi..

Pale Uaskofuni Dodoma Mjini pana Pub ya Masista wanauza Wine Nzuri sana na Kitimoto safiii na wamenawili tu mbona na wachangamfu??
 
Back
Top Bottom