Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

Weka wazi kama ni shida ni Chupi/Boxer/Shela/Kanzu/ Chakula nk ..kama vimechakaa/ hakuna, tujue na tutachanga...na vya ndani sana vile uwe tayari kutueleza hapa ulivijuaje..Tatizo la Kiuchumi Kwa Sasa ni la Kitaasisi Duniani kote siyo Jimbo hilo la Kondoa tu..sema kiwango cha ukata kinatofautiana huko Uislamu mwingi..

Pale Uaskofuni Dodoma Mjini pana Pub ya Masista wanauza Wine Nzuri sana na Kitimoto safiii na wamenawili tu mbona na wachangamfu??
Kweli mkuu,Huwa naenda hapo!
 
RC mnatakiwa kubana matumizi, yaani idadi ya watumishi wa kiroho iendane na uwezo halisi wa wahudumiwa, vinginevyo mnajiundia 'TIME BOMB'!
 
Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.

Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.

Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.

Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati inatakiwa kufanyika kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana kabla ya hali ya kitume jimboni humo kua mbaya na ngumu zaidi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kuna wakati ujinga wako mwingi wakufanya uamue kuandika mambo ambayo huna uwezo nayo.

Dayosisi ya Kondoa " is a see of Roman Catholic Church. Ni kitu twaita Suffragan of Archdiocese of Dodoma na ipo kwa ajili ya Wilaya ya Kondoa kabla hata hujazaliwa.

Actually, nikisema yaitwa see namaanisha kwamba mwaka 2011 Dayosisi hii ilisimikwa na Papa Bull Cam ambae humwakilisha rasmi Papa alipofanya mabadiliko ya kimuundo kuiondoa kutoka kwenye dayosisi ya Dodoma.

Kondoa ilikuwa ni strategally designed na wenye dunia na ina Dayosisi ya Anglikana na pia bila kusahahu kituo chenu cha Zanzibar Centre kwa Waislam.
 
ok.🐒
 
RC mnatakiwa kubana matumizi, yaani idadi ya watumishi wa kiroho iendane na uwezo halisi wa wahudumiwa, vinginevyo mnajiundia 'TIME BOMB'!
Hata Mfumo wao wa Mafundisho wanapaswa kuufanyia Mageuzi Makubwa..waanze kuhubiri Utajiri na Kuhamasisha Ujasiriamali miongoni mwa Waumini wao..Mfumo wa sasa unawaaminisha Wakatoliki wengi kwamba Utajiri na Mali nyingi havina maana hata kama vimepatikana kihalali ..watafute tu Ufalme wa Mungu..maana mbinguni..havina nafasi na mfano wa hayo Maisha ya Mbinguni yajayo ni hao Watawa Wakike na Kiume..
Na wakati huo huo Kanisa hilohilo linawategemea Waumini haohao wasio na kiu ya Utajiri watoe michango na Zaka.!!!Utategemezwaje na Maskini!!!!?
Kanisa limejiendesha kwa Karne nyingi kwa kutegemea Wafadhili bila kuwa na plan mbadala..sasa Wafadhili wamekata mirija mingi..hali inazidi kuwa tete...
 
Unaposema TEC ichukue hatua za makusudi, unamaanisha nini hasa ambacho hakijafanyika?
ni muhimu zaidi waende wenyewe kufanya utafiti, kushuhudia na kujiridhisha, na hatimae wapate pa kuanzia kuhusu ushauri wangu dhidi ya jimbo katoliki la Kondoa.

TEC walifanya kazi kubwa na nzuri sana jimbo katoliki la Tunduru, na wanaweza kufanya vizuri zaidi jimbo katoliki la Kondoa 🐒
 
Mkuu sasa wewe si uko ndani ndani CCM huko..!?Huwezi ukashauri wapate hata Wabunge kadhaa wa viti maalumu wapate japo ruzuku..maana kama ni Elimu Dunia pia wako njema!!!au?
 
Watu wanazungumizia kuomba msamaha kwa watanzania wotewewe unaleta habar za jimbo la kondoa( hao roma wamejitosheleza na hao watawa wapo ndani ya viapo vyao vya ufukara kwaajili za wengine)
si ukijieleza huko huko gentleman kwa uhuru na itapendeza zaidi 🐒
 
ni muhimu zaidi waende wenyewe kufanya utafiti, kushuhudia na kujiridhisha, na hatimae wapate pa kuanzia kuhusu ushauri wangu dhidi ya jimbo katoliki la Kondoa.

TEC walifanya kazi kubwa na nzuri sana jimbo katoliki la Tunduru, na wanaweza kufanya vizuri zaidi jimbo katoliki la Kondoa 🐒
Kuna nini..si useme..umeleta JF kwanini sasa??
 
Mkuu sasa wewe si uko ndani ndani CCM huko..!?Huwezi ukashauri wapate hata Wabunge kadhaa wa viti maalumu wapate japo ruzuku..maana kama ni Elimu Dunia pia wako njema!!!au?
nadhani sihusiki na sifahamu lolote kuhusu hilo gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom