Shughuli pekee ya kitume kwa sasa ya TEC ni kudai haki ya wahanga wa October 2025!na waliopotea na kuwekwa gerezani kinyume cha sheria!!Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.
Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.
Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.
Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana.π
Mungu Ibariki Tanzania
Umeleta uzi kama wimbo wa mchakamchaka.Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.
Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.
Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.
Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana.π
Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe hata wehu nao hutoa ushauriIkiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.
Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.
Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.
Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana.π
Mungu Ibariki Tanzania
Kondoa ni ya waislam siyo lazima mng'ang'anie eneo hamtakiwi nyie wafuasi wa Roma.Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.
Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.
Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.
Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana.π
Mungu Ibariki Tanzania
ni muhimu sana TEC wakalitazame na kulishudia wenyewe gentleman na itapendeza."Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume.. " inanini?
Kwa Kutoa Tamuko La Kurasa NNE bila MANENO yake yaliyomo!!? Siyo..?Shughuli pekee ya kitume kwa sasa ya TEC ni kudai haki ya wahanga wa October 2025!na waliopotea na kuwekwa gerezani kinyume cha sheria!!
Hayo engine mapadri watayafanyia kazi!!
Kumbe tlaahtlaah ni umwale!Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.
Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa.
Hali ya kitume ya watawa wa kike na kiume, inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana.
Hayati mhashamu baba Askofu Bernadine Mfumbusa alifanya kazi kubwa na ngumu sana Kondoa, nadhani ipo kazi ngumu zaidi ya kimkakati inatakiwa kufanyika kulisimamia jimbo hilo. Ni muhimu sana TEC kulitazama hili na kuchukua hatua muafaka za makusudi za mapema sana kabla ya hali ya kitume jimboni humo kua mbaya na ngumu zaidi.π
Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe mrangi huyu!Kumbe hata wehu nao hutoa ushauri
Weka wazi kama shida ni nini... Chupi/Boxer/Shela/Kanzu/ Chakula nk ..kama vimechakaa/ hakuna, tujue na tutachanga...na vya ndani sana vile uwe tayari kutueleza hapa ulivijuaje..Tatizo la Kiuchumi Kwa Sasa ni la Kitaasisi Duniani kote siyo Jimbo hilo la Kondoa tu..sema kiwango cha ukata kinatofautiana.Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.

Njole!ok.π