Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

Kweli mkuu,Huwa naenda hapo!
 
RC mnatakiwa kubana matumizi, yaani idadi ya watumishi wa kiroho iendane na uwezo halisi wa wahudumiwa, vinginevyo mnajiundia 'TIME BOMB'!
 
Kuna wakati ujinga wako mwingi wakufanya uamue kuandika mambo ambayo huna uwezo nayo.

Dayosisi ya Kondoa " is a see of Roman Catholic Church. Ni kitu twaita Suffragan of Archdiocese of Dodoma na ipo kwa ajili ya Wilaya ya Kondoa kabla hata hujazaliwa.

Actually, nikisema yaitwa see namaanisha kwamba mwaka 2011 Dayosisi hii ilisimikwa na Papa Bull Cam ambae humwakilisha rasmi Papa alipofanya mabadiliko ya kimuundo kuiondoa kutoka kwenye dayosisi ya Dodoma.

Kondoa ilikuwa ni strategally designed na wenye dunia na ina Dayosisi ya Anglikana na pia bila kusahahu kituo chenu cha Zanzibar Centre kwa Waislam.
 
ok.πŸ’
 
RC mnatakiwa kubana matumizi, yaani idadi ya watumishi wa kiroho iendane na uwezo halisi wa wahudumiwa, vinginevyo mnajiundia 'TIME BOMB'!
Hata Mfumo wao wa Mafundisho wanapaswa kuufanyia Mageuzi Makubwa..waanze kuhubiri Utajiri na Kuhamasisha Ujasiriamali miongoni mwa Waumini wao..Mfumo wa sasa unawaaminisha Wakatoliki wengi kwamba Utajiri na Mali nyingi havina maana hata kama vimepatikana kihalali ..watafute tu Ufalme wa Mungu..maana mbinguni..havina nafasi na mfano wa hayo Maisha ya Mbinguni yajayo ni hao Watawa Wakike na Kiume..
Na wakati huo huo Kanisa hilohilo linawategemea Waumini haohao wasio na kiu ya Utajiri watoe michango na Zaka.!!!Utategemezwaje na Maskini!!!!?
Kanisa limejiendesha kwa Karne nyingi kwa kutegemea Wafadhili bila kuwa na plan mbadala..sasa Wafadhili wamekata mirija mingi..hali inazidi kuwa tete...
 
Unaposema TEC ichukue hatua za makusudi, unamaanisha nini hasa ambacho hakijafanyika?
ni muhimu zaidi waende wenyewe kufanya utafiti, kushuhudia na kujiridhisha, na hatimae wapate pa kuanzia kuhusu ushauri wangu dhidi ya jimbo katoliki la Kondoa.

TEC walifanya kazi kubwa na nzuri sana jimbo katoliki la Tunduru, na wanaweza kufanya vizuri zaidi jimbo katoliki la Kondoa πŸ’
 
Mkuu sasa wewe si uko ndani ndani CCM huko..!?Huwezi ukashauri wapate hata Wabunge kadhaa wa viti maalumu wapate japo ruzuku..maana kama ni Elimu Dunia pia wako njema!!!au?
 
Watu wanazungumizia kuomba msamaha kwa watanzania wotewewe unaleta habar za jimbo la kondoa( hao roma wamejitosheleza na hao watawa wapo ndani ya viapo vyao vya ufukara kwaajili za wengine)
si ukijieleza huko huko gentleman kwa uhuru na itapendeza zaidi πŸ’
 
Kuna nini..si useme..umeleta JF kwanini sasa??
 
Mkuu sasa wewe si uko ndani ndani CCM huko..!?Huwezi ukashauri wapate hata Wabunge kadhaa wa viti maalumu wapate japo ruzuku..maana kama ni Elimu Dunia pia wako njema!!!au?
nadhani sihusiki na sifahamu lolote kuhusu hilo gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…