Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

Kuna nini..si useme..umeleta JF kwanini sasa??
ni uhuru wa TEC,
ikiwa itaonekana inafaa waende kujiridhisha na kufanyia kazi yale muhimu ya kuimarisha jimbo hilo, na ikiwa vinginevyo navyo vile vile ni sawa tu.

Lakini,
iko haja ya kufanya jambo katika jimbo hilo πŸ’
 
Gentleman ushauri wako ulioutoa ili kanisa liufanyie kazi ni upi? Mbona mimi sion ushauri wowote uliotoa

Taja kondoa Kuna matatizo gani ili kanisa lifanyie kazi
 
ni uhuru wa TEC,
ikiwa itaonekana inafaa waende kujiridhisha na kufanyia kazi yale muhimu ya kuimarisha jimbo hilo, na ikiwa vinginevyo navyo vile vile ni sawa tu.

Lakini,
iko haja ya kufanya jambo katika jimbo hilo πŸ’
Jambo gani lifanyike katika Jimbo Hilo gentleman?
 
Jambo gani lifanyike katika Jimbo Hilo gentleman?
ndugu mdau,
nadhani ni muhimu sana wakafanye kautafiti na kwakweli itapendeza zaidi. Hakuna haja ya kuwauliza wenyeji wakristo wa huko kwa simu au vinginevyo.

ni vizuri kwenda kujionea na kuchukua hatua muafaka wenyewe kama taasisi πŸ’
 
nadhani TEC kupitia vyombo vyake mahususi inaweza kabisa kwenda kujiridhisha, licha ya kua jimbo la Kondoa lina muwakilishi kwenye taasisi hiyo muhimu sana ndani ya kanisa katoliki πŸ’
 
Watakua wanapigana Miti ma Padre na Ma sister
 
Akili imeanza kukukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…