Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

Hapo mbezi yupo mmoja hivyo hivyo, na aliishachukulia kama kaokota nyumba.

Baada ya miaka mingi walijitokeza ndugu,
Kuna ule uzi wa yule Mpemba alie hujumiwa kunyingwa kwa kumuua muua Mdai wake, nilionaga umeelezea mule nautafutaga sana unaweza upandisha?
 
Miezi minne washagawana mali?

 
Mimi naona nimeokota sababu niliizindua mimi na yeye alikuja mara moja baada ya Mimi kuhamia nikasikia kafariki baada ya kupata taarifa kutoka Kwa maboss wenzie
Hao walio kuambia kuwa ndugu wamesha gawana mali, hiyo nyumba hawaijui, ndio hao hao wataambia ndugu kuhusu nyumba unayo ishi kuwa ni yao.

Kaa kwa tahadhari.
 
Sio mwongozo ya jinsi ya kukabidhi nyumba yenyewe kwa warithi.
 
hao waliokupa taarifa ya kifo chake ndo watakao-ku-snich
Sidhani sababu hata wao hawajui ilipo mkuu sababu huwa wanakutana na mzee bar na Mimi nilishakutaba nao mara 3 ambapo siku Moja wakanipa taarifa ya kifo chake na Wala hawakuniuliza habari za nyumba nadhani hajawaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…