granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
chai,Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chai,Sawa
Sawachai,
Uko wapi..Hongera kwa kuokota nyumba.....
Kwa dunia ya leo hamna kitu kama hicho, kwamba hakuna hata waliomuzia huyo boss marehem kiwanja? hakuna hata watu wachache aliowahi kuja nao kutembelea hicho kiwanja? Kwamba hakuna hata fundi aliyejenga hiyo nyumba kuanzia msingi mpaka finishing? Ikiwa umepata bahati ya kuishi kwa muda ishi lakini usidhani kama iko siku utamiliki hiyo nyumba.Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Ntakupigiaaaa natembea tembea huku natafuta nyumba niokoteUko wapi..
Kama ipo bagamoyo hiyo nyumba tunaijua na nyingine ipo mwanza kwa mchepuko wake pamoja na fremu zake. Na kuna gari yake pia mule..Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Ukiokota nami nishtue huenda nikabahatisha na mimi😂😂Ntakupigiaaaa natembea tembea huku natafuta nyumba niokote
Huu mbona kama wivu aiseeKwa dunia ya leo hamna kitu kama hicho, kwamba hakuna hata waliomuzia huyo boss marehem kiwanja? hakuna hata watu wachache aliowahi kuja nao kutembelea hicho kiwanja? Kwamba hakuna hata fundi aliyejenga hiyo nyumba kuanzia msingi mpaka finishing? Ikiwa umepata bahati ya kuishi kwa muda ishi lakini usidhani kama iko siku utamiliki hiyo nyumba.
Naona kama kidogo kichwani hesabu zinakupiga chenga kwahiyo kutoka mwezi wa 4 mpaka wa 12 ni miezi minne
Ni suala la Muda tuhao waliokupa taarifa ya kifo chake ndo watakao-ku-snich
Ndio maana mi sitaki mambo ya siri kabisaSasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie suprise
Hilo Mimi sijui wanajua wao ila nimekuambia nimesikia fununu Sasa wewe unaforce kwamba miezi 4 wanagawanaje Mali wakati nimesema mzee kafa mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 naona kimya na nimesikia fununu ndio maana nikakuambia kichwani kwako Kuna shida ya kupiga hesabuTaratibu za kufungua mirathi hadi kukamilika ni miezi 8 au siyo?
Umesema kweli kabisa Hata asipowapa kodi akabidhi nyumba yaoHii habar kama ni ya kweli,ningekuwa mimi kwanza ile hela ya kodi ningekuwa naiweka bank kana kwamba namlipa mwenye nyumba,huku nafanya jitihada za kumpata mmliki wa nyumba hiyo
Siku wakipatikana nawaambia nadaiwa miezi kadhaa na hela yenu ipo niliihifadhi,hakika utakuwa umetenda haki mbele ya Mungu wako,na kwa neema ya Mungu huenda hata kodi iliyopita wahusika wakakusamehe kwakuwa ungekuwa na uwezo wa kuwadhulumu lkn hukufanya hivyo
Ila vyovyote itakavyokuwa haki ya mtu huwa haipotei,ipo siku tu kwa namna usiyotarajia unajikuta wenyewe hawa hapa
Kwahiyo hiyo miezi 8 ndiyo inatosha kugawana mali? wapi nimeforce miezi minne? tuache minne je nane ndiyo inatosha?Hilo Mimi sijui wanajua wao ila nimekuambia nimesikia fununu Sasa wewe unaforce kwamba miezi 4 wanagawanaje Mali wakati nimesema mzee kafa mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 naona kimya na nimesikia fununu ndio maana nikakuambia kichwani kwako Kuna shida ya kupiga hesabu
Mimi naona nimeokota sababu niliizindua mimi na yeye alikuja mara moja baada ya Mimi kuhamia nikasikia kafariki baada ya kupata taarifa kutoka Kwa maboss wenzie
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Punguza utoto.Sasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie suprise
Ni mabay sana basi watu hawajui tu,baba yetu naye alikuwa na mambo kama hayo,kuna mashamba na viwanja alidhulumiwa kwa kupenda usiri usiriNdio maana mi sitaki mambo ya siri kabisa
Kama unajua amefariki lazima utajua msimba ulipo au alipozikwa majiran wenzie walojenga pamoja wanamjuaHilo Mimi sijui wanajua wao ila nimekuambia nimesikia fununu Sasa wewe unaforce kwamba miezi 4 wanagawanaje Mali wakati nimesema mzee kafa mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 naona kimya na nimesikia fununu ndio maana nikakuambia kichwani kwako Kuna shida ya kupiga hesabu
Epuka laana /balaa vitu vya namna hiyo mwisho wake ni mmbaya sana.Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Umeongea kama kamanda...achukue hii..Tafuta jamaa zako Ardhi jichukulue nyumba wakija kushtuka tumia signature za nyuma utengeneze mkataba wa mauziano na marehemu.