Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Yaani Mleta Mada Ni Mwijaku TypeEnhee how do you feel? kukaa na mtoto wa watu bila kujulikana kwao? Hebu akufie humo ndani ndiyo utajua vizuri
Kwa kweli πYaani Mleta Mada Ni Mwijaku Type
"Siku amepata janga mfano kifo ndipo utaelewa somo vizuri " Mwisho wa kunukuu ,alisema mzee mmoja hiviBuenas Domingo amigos!
Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005
Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana
Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000
Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.
Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae
Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu
Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.
Je nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara??
Hiyo sio ni Hatari na Madhara yake huwezi kuyaona sasa we kula tunda tuBuenas Domingo amigos!

Taratibu Zipo Wazi Anakuja JF KuulizaKwa kweli π
Mwache kitamkuta kitu π π atarudi kulia tena humuTaratibu Zipo Wazi Anakuja JF Kuuliza
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Buenas Domingo amigos!
Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005
Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana
Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000
Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.
Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae
Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu
Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.
Je nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara??
Ngoja akufie ndani ndo utajua Dunia ni kizungu zungu.