Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

Weka mimba akijifungua uende ukajitambulishe hawataleta shida
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Mbususu ya bure bure tamu sana ila siku akikufia ndani ndo utaelewa tamu ya mua kifundo


Ushauri wangu
Nenda kwao Ngara mapema sana
 
Any updates???

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom