Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
We chukua huyo binti ila naomba contacts za mama yake nimsalimie
 
Baadhi ya makabila iko hivi....
Kama ukiishi na binti bila ndoa ikiwemo kama hujamtolea mahari ambayo huhesabika kama ndoa kimila..
Sasa ikitokea amefariki kwa baadhi ya makabila utatozwa faini na kufunga ndoa na maiti yako!!!. Tena wazee huwa siriaz sana ...
Kuwa makini, n huyo binti Bado mdogo baba hajali familia Yuko na mama Ina maana hapo unalea familia mbili...... Kwa kuwa unalea familia mbili ni lazima mama mtu awe mpole ili aendelee kupata chochote kwa mwanae na mtoto ni lazima akulee na akupe mahaba ili umvushe hichi kipindi ambacho anajitafuta.
Siku akijipata ataanza sarakasi hadi atapiga summersault hadi atakubali!!

Ni ngumu sana kujua kwanini mwanamke alikukubali Aishi na wewe Hadi pale atakapofanikisha alichokua anataka ndio utajua hujui na inaweza kuwa miaka hata kumi na Tano au 20,ndio maana mara nyingi tunashindwa ku recover haraka tunapopigwa na kitu kizito Toka kwa Hawa wanawake coz unashindwa kuamini Ina maana miaka yote hii lengo lake lilikua hili!!?

Pole in advance kwake!!
 
Ni kweli kabisa,, muhimu ni kuishi au kuchagua mtu sahihi anayekupenda bila sababu!!!!
Kwa maana sababu zikiisha ni lazima atoke kwenye maisha yako haijalishi ni wakati gani.
 
Wakuu nimeskia ushauri wenu kesho nachukua namba ya mama mkwe nianze kuwasiliana nae then nijipange niende kumtembelea kwake Ngara. Mmeninyea sana jamanii daaah!!!
Wanachoongea ni kweli ila naona kama mishangazi na ma-incel wa jf waliokuponda wengi wao wanakuonea wivu ww kula kibinti cha 2005 Sigara Kali
 
Miezi 6 bado ni muda mfupi kuweza kujuana vizuri. Huyo mwanamke pia uenda kajiegesha tu apate unafuu wa maisha.

Cha kufanya usiharakishe suala la kwenda kujitambulisha. Mtoe huyo binti nyumbani kwako. Kama ni kuja awe anakuja kukutembelea tu. Unaweza kumshauri arudi kwao, akakae kwa ndugu yake au ukampiga tafu aende kupanga huku akitafuta kazi ya kufanya. Mpaka utakapojiridhisha vya kutosha, then nenda kwao fuata taratibu za kumchukua rasmi
Ww ndo mmoja wa watu waliotoa ushauri neutral, wengi waliomponda mtoa mada (mishangazi ya jf na ma-incel wa jf), nahisi ni kwasababu wanamuonea wivu anakula kibinti cha 2005..ooh atamfia ndani, mtoa mada ingekua kachukua mshangazi , aaaah 😁, wasiongeongelea swala la huyo mshangazi kufia ndani kwa mtoa mada Natafuta Ajira
 
Ni kweli kabisa,, muhimu ni kuishi au kuchagua mtu sahihi anayekupenda bila sababu!!!!
Kwa maana sababu zikiisha ni lazima atoke kwenye maisha yako haijalishi ni wakati gani.
Ndipo mtihani ulipo!!

Kuna mmoja alikopa kabisa akajenga na nyumba ya kuishi na familia!mwaka juzi mtu wake akapata mchepuko wakaanza na kaujenzi Fulani hivi!!

Sasa jamaa anashangaa majibu yake:-

Unafikiri utanifanya Nini wewe!!?

Unafikiri Kuna kitu Gani Cha maana ninachobembeleza kwako!!?

Walipoenda kusuluhisha mwanamke akaanza ku rap!!

Jamaa ahudumii familia,mara hataki kusomesha watoto,mara kibao!!

Sasa anajiuliza nyumba aliojenga Kwa mkopo wanaishi kenge na sio yeye na watoto!!?

Hadi Leo jamaa tupo nae ameanza kuwa mlevi wa pombe na kahawa huku Hana mpango na mkewe tena!!!
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Bahati mbaya likitokea la kutokea akafikwa na mauti utampeleka wapi ?
Utaingiaje mji wa watu ukiwa na jeneza na hakuna anayekutambua ? Utatambulishwa kama mume? Hawara ama nani ?
 
Ndipo mtihani ulipo!!

Kuna mmoja alikopa kabisa akajenga na nyumba ya kuishi na familia!mwaka juzi mtu wake akapata mchepuko wakaanza na kaujenzi Fulani hivi!!

Sasa jamaa anashangaa majibu yake:-

Unafikiri utanifanya Nini wewe!!?

Unafikiri Kuna kitu Gani Cha maana ninachobembeleza kwako!!?

Walipoenda kusuluhisha mwanamke akaanza ku rap!!

Jamaa ahudumii familia,mara hataki kusomesha watoto,mara kibao!!

Sasa anajiuliza nyumba aliojenga Kwa mkopo wanaishi kenge na sio yeye na watoto!!?

Hadi Leo jamaa tupo nae ameanza kuwa mlevi wa pombe na kahawa huku Hana mpango na mkewe tena!!!
Pole yake.
 
Umepewa mzigo ulee afu unajiona mjanja. 😁
Umewapunguzia hao jamaa majukumu. Wewe ndio zuzu hapo mkuu.
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
CHAI
 
Back
Top Bottom