Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Ndiyo maana mkeo alikushindwa,aliona bora aachane na wewe.Unaonekana una tatizo la "kimakuzi".
 
Ach

Acha ujinga nenda Kwa mzaz kajitambulishe
 
Nimesoma hoja za wachangiaji nimesikitika sana? Kwanini muwaze negative? Et akikufia ndani! Mara akipatwa na matatizo
1.akipatwa na matatizo., dawa ya matatizo ni kusuluhishwa
2. Akifa ni mipango ya mungu, madhali hajauliwa!
3.hata mwanaume anaweza akapata matatizo acheni kuwaza upande mmoja
4.mtoa mada kuwa na amani kila kitu kina wakati wake madhali mnapendana!
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Unaishi na mtoto wa watu bila taarifa mwanangu ona aibu basi , kama unamsigia anahandle majukumu kama mke why usiende jitambulisha kwao?, chelewa likukute jambo
 
Huu uzi ni evidence kwamba watanzania ni masheep na makondoo. Yaani mtu mmoja kagusia the most unlikely outcome, basi kila mtu kaelekea hukohuko blindly, a stampede mindset. Ni pattern utakayoiona kwenye kila uzi, comment 3-5 za kwanza zinaamua aina ya comments zote zijazo. People can't even think for themselves. It makes sense why ccm haitoki madarakani.

Hauwezi kutuuliza sisi whether ujitambulishe kwao au lah sababu hatujui una mipango ipi na huyo demu considering umesema unataka kula mpaka kwao wajitambulishe wenyewe.

Either way, huyo demu sio mtoto ni mtu mzima, yeye na wazazi wake wanatambua hilo. Kama ameamua kuishi na mtu basi ni juu yake na ni wajibu wake kujua cha kuiambia familia yake. Au unataka kusema utajitambulisha kwa kila familia ya demu unayeishi na uliyepanga kumla na kumtupa in case atakufa? That sounds incomprehensibly stupid.
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
we endelea tu kuzini nae, siku atakapokufia kwenye Hilo geto lako ndo uje uozeshwe maiti.
 
Ngoja likukute jambo ndio utaelewa, saizi unaandika kama mwamba vile yaani umekula au siyo
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Nilitamani nikutukane ila bahati mbaya kanuni haziruhusu

Lakini ukweli ni kwamba utakuwa mwanaume wa ajabu sana na utakuwa umetuaibisha sana wanaume wenzako,Kwa mujibu wako huyo Binti ni mke aliyetayari kukuzalia hata watotolakini pia hata mama mkwe Yuko tayari kukupokea wewe kama mkwe ila shida Iko kwako
Fanya hivi,nenda Kwao na mwanamke wako huko Ngara hata ukiwa na sh 100,000/= ukajitambulishe,bila shaka utapkelewa Tena Kwa heshima kubwa

NB: Uendapo nenda mwenyewe na hii ni Kwa sababu inaonekana hauna kipato Cha kukidhi mahitaji ya wakwe na kama utaamua kwenda na watu wengi. Ukishindwa Hilo hata huyo atakuacha
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Mkuu hata mimi naona nitaingia kwenye story kama yako maana nipo arusha nakula beki 3 ambaye kwako ni Musoma na ana dalili zote za kuacha kazi nakuja kuishi kwangu
 
Endelea kumuomba MUNGU usiku na mchana ila kuna KIFO,Simuombei mabaya ila umeshawai Kuwaza ikitoa hvyo utafanyaje?? Huyo baba yake ambaye amekuambia hanishughulishi kwa chochote ndio hyo siku utamjua vzr
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Nenda haraka sana ukajitambulishe

Au

Uachane naye

Maana siku limempata baya ndiyo utajua kuwa anandugu unadhani Babayake hamjali ndiyo utajua hujui usijisifu kwa ujinga huo nakuonya

Kwa mara ya kwanza na ya mwisho
 
Binti alishatoroka kitambo kaenda kwa njemba mwingine
 
Back
Top Bottom