Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Mkuu fanya hima kwao wakujue aisee... Siombei kitu kibaya ila kuna siku utakuja kulipia mahali maiti kwa mfumo huu ukikutana na wazazi serious wasiotaka masihara na binti zao...

Fanya hata kama ana dada zake wakujue wewe kama wako available maeneo mnayokaa au ndugu yoyote tu if uko serious unataka kumuoa sio kumchezea mtoto wawatu, sometimes you've to act as an acknowledge gentleman...
 
Umasikini wa huyo binti huyo wa 2005 ndio umemfikisha hatua hiyo ya kukaa na ww mtu mzima usiyejielewa.
 
Ishi nae tu kashashindikana kwao ndo maana wazazi wake wameruhusu aishi na lijitu lisilojulikana
 
Aisee! Nenda kajitambulishe kwa Bi mkubwa ake mkuu..akipata matatizo binti wa watu wewe ndio wa kwanza kulaumiwa
 
Kama unampenda kweli na unatambua umuhimu wake kwako ilitakiwa ukajitambulishe kwao ili ujulikane ,
Suala la kukaa kimya huku ukifurahia ukimya wa familia yake sio jambo la kujisifu
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Wewe ni mtekaji aka Boko-haram.Fanya mawasiliano na familia ya huyo bibi na wewe ndiye ulipe ransom/fidia/kikombozi kwao.Mengine utashauriwa zaidi.
 
Buenas Domingo amigos!

Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005

Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana

Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli kuhandle mwanaume yani ana mapenzi matamu kamzidi mama watoto wangu mara 1000

Baada ya kumaliza chuo aliitwa kwao aende kujiunga na jkt ila mambo yalienda ndivyo sivyo babake akaamua kumpotezea , kwa maelezo yake babake hana time na familia yake so mama yao ndo kila kitu.

Basi kwa kuwa mi naishi single nikamwambia njoo tuishi wote. Kweli mtoto kaja huu mwezi wa 6 sasa naishi nae

Ila siku zote hizi sijawahi kujitambulisha kwao hata kupitia simu. Binti kanitambulisha kwa mamake japo huyo mama hajawahi kuniona kwa sura wala kuongea na mimi kwa simu

Mara nyingi binti anapoongea na mamake lazima atume salamu kwangu.

Je, nifanyaje nimpigie huyo mama niongee nae nijitambulishe rasmi kupitia simu au nikaushe tu niendelee kula mbususu ya binti yake kimya kimya hadi siku mama mkwe atakaponipigia yeye kutaka akanione kwake Ngara?
Una umri gani kwanza maana nisije kukupa ushauri au kukutusi kumbe ni katoto ka 2000 kama huyo mwenzako
 
Ivi kumbe watoto wa 2005 wameshafikia kuwa halali kwa matumizi eeeeh
 
Akiumwa ama kukufia itakuwa shida sana, chukua namba yake mpigie, muahidi siku utafunga safari kwenda kumuona na kujitambulisha, mmbebee sukari na vijizawadi uchwara ! Na ukishamuahidi jipange uende kweli !!!! All the best
 
Back
Top Bottom