Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Kama yote anakufanyia kwa nini ukai kwa kutulia usubiri mpaka amue mwenyewe mfunge ndoa kipi kimepelekea ulete mada Jf zingatia sio kila anayechangia kinyume na fikra zako ukadhani anataka utoke kwenye mahusiano yako.

Ndio maana ikaitwa JAMIIFORUMS


Haya nimeshakaa kwa kutulia [emoji575]
 

Kuweka vitu sawa sio Mali tu hana shida ya mali ndio maana vyote anavyonifanyia vyote Viña majina yangu peke yangu


Kuweka sawa Kama mkuu mmoja alivyosema maybe kwenye familia yao siwezijua kuna nini sababu hajawahi kunambia chochote isipokua his mom kila nikiongea nae anasema nataka mfanye harusi mwanangu

Au labda ana vitu vyake binafsi yeye kama yeye

Tunaweza kuharakisha na tusidumu tukaachana Pia tukachelewa na tukadumu
 
Tuache wakati uongee
 
Why keeping a cow if you can get free milk?
What free milk does she need, she is already being getting the free milk and more necessities. Is your definition of free milk is marriage? Literally speaking they are being married already, how can you stay for 3yrs and keep demanding that, bitch she crazy sorry for the word instead she should be investing with him in their lives. It is so absurd to ask that yet you live a marriage life. Or she is kinda person ambae amelowea kulelewa na anajua akitoka kwa jamaa imekula kwake, ukisha ambiwa kuwa nenda kama unapoteza mda huyo mwanamke alipaswa kujiongeza. In short she sounds cheap, lost and confused!! It would have been better if you asked advice on how you would make a fortune together in the position? Go get civil marriage(contractual one) you getting tired you part your ways and divide the fortune you made together. If have not mistaken, you have not contributed anything to change his life and yours just because you waiting for marriage, dada shituka unafeli mtihani?
 
Relax,ukiishi na mtu miezi mitatu tu huyo ni mmeo au mkeo..siyo mimi ni sheria ya ndoa hiyo..Yanga wametufundisha kufuata sheria na kanuni😀😀
 
Nachoogopa naweza kuachana na huyu nikampata mwingine ana mapungufu mengi zaidi

Najipa moyo ndoa hupangwa na Mungu maybe atanioa

Au nianzishe mahusiano mengine kimya kimya
Kama una chura njoo kwangu nakuoa kesho tu
 

That’s your opinion siwezi kukubishia....

I met him with nothing only his job, kanikuta kwangu kwa mawazo yake akaona tuishi pamoja nimeplay part kubwa sana sana kwenye maisha yake that’s why hé decided kufanya Ali/anavyonifanyia siwezi kuongea nimefanya hivi na hivi

Na mm siogopi maisha, nimeanza biashara kuanzia niko o level to A level, chuo hadi sasa hata yeye ni amenipanulia tu nina vitu vyangu tofauti na alivyonipa yeye, nawasomesha wadogo zangu wawili na sio kwa kumtegemea yeye


Inshort recently

I CANNOT LEAVE HIM, sikuja kuomba ushauri wa kuachana nae[emoji1362]
 
Okay dear but my comment ilikuwa general..
M/Mungu akutimizie hitaji la moyo wako.
 
Tutofautishe kupendwa na kuonewa huruma,, 😂😂😂 halafu ukiambiwa reality kuwa hupendwi unahisi unaonewa wivu😂😂😂😂 angekupenda kweli angekuoa kwa heshima dada, anaweza kufanya yote hayo kwa ajili ya wewe na watoto msije hangaika ila hakupendi kama mke/msaidizi ktk maisha yake ndo maana akakutamkia nenda utafute ndoa kwa mwanaume mwingine,, hii kauli tu ilitosha kuachana nae
 

Sawa umeshinda sipendwi... umefurahi ee[emoji38][emoji38][emoji38] haya kakojoe ulale sasa


Kuonewa huruma nako raha maana wangapi wanatendwa wanaachwa na watoto wanahangaika[emoji848][emoji848] wangapi wameolewa kwa heshima mwisho wa siku waume zao wa ndoa wamewachoma kwa magunia ya mkaa nk

Ukiona sipendwi naonewa huruma na watoto wasijehangaika Hilo tu kwangu linatosha amethamini damu yake[emoji18]na mama yao...
 
Huyo kuna sehemu anapasubiria akaoe.

Bibie sikufichi sisi ndiyo waoaji,asikwambie mtu tukimpenda Mwanamke kweli lazima tumuoe labda akatae yeye.

Kingine mnakubali vipi kuishi pamoja pasi na ndoa na hizo funga zenu mnaziweka rehani.

La mwisho acheni kujiendekeza utakuja kufanya kazi mara mbili.
 

Ndio kwanzaaaa nakusikia wewe kuna nyuzi ngapi humu wanaume wanasema sioi sioi sioi Au huzionagi? Kingine mada imeisha...!!! Anayeijua funga ya mtu ni M/mungu mwenyewe that’s all!!

Pia akioa sehem nyingine yote kheriiii


MADA IMEISHA

SITOJIBU COMMENT NYINGINE YOYOTE
 
Acha kujifanya nabii wewe!
 
Ndio kwanzaaaa nakusikia wewe kuna nyuzi ngapi humu wanaume wanasema sioi sioi sioi Au huzionagi? Kingine mada imeisha...!!! Anayeijua funga ya mtu ni M/mungu mwenyewe that’s all!!


MADA IMEISHA

SITOJIBU COMMENT NYINGINE YOYOTE
Ila kuna vichenguzi vya funga,sasa sijui hujaviona ?

Hakuna mwanaume mwenye akili timamu,ambaye hataki kuoa,hao unao dai wanasema hawaoi,ni wanaume kijinsia ila si wanaime kitabia. Kwenye Wanaume kuna wanaume.

Tena hapo mnapata dhambi mara mbili,ya uzinifu na uzinifu mwezi wa Ramadhani.

Mola wetu hapendi watu wazembe na wajinga wajinga.
 
Wakati mnazaa namna hio we kwenu wazazi hakuna ama? Au wameridhia uwekwe kinyumba bila ndoa sababu bwana ana hela?
 
Wewe ndo ukojoe ukalale au hujui stress hazifai kwa mama mjamzito! Vipi ushampikia daku mumeo? 😂😂😂 Na bado ndoa umenyimwa 😂😂😂 ndoa Ni bahati si Kila mtu ako nayo😛😛😛
 
Utamuacha huku una watoto watatu nae 😅😅😅 unafikiri ni jepesi hilo! Sema hadi atakapokuacha yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…