Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Tafuta la kukera bado hujanikera mama kijacho😂😂😂😂Basi shida yako ni moja tu una nyege na wa kukutoa hunaaa pole sana ndio maana unahangaika kama bisi kikaangoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta la kukera bado hujanikera mama kijacho😂😂😂😂Basi shida yako ni moja tu una nyege na wa kukutoa hunaaa pole sana ndio maana unahangaika kama bisi kikaangoni
Pengine anasubiri mtoto umzalie ndio aoe!Wa kwanza alifariki, huyu wa pili tunamsubiria[emoji2972]
😂😂😂😂 Ukitaka mfano wa ukweli unauma Basi ndo huu Sasa,😂😂😂
He😂😂kutoka naombeni ushauri imefikia sitaki ushauri tena relax mpendwa 😂😂😂😂
Tatizola JF now days ni kama imevamiwa mtu yuko siriaz anaomba ushauri watu wanaleta utani,ok anyway mi niseme huyo jamaa anatakiwa tu kueleweshwa madhara ya jambo analofanya kwani inawezekana ni woga tu unamsumbua kutokana na historia labda aliwai kuumizwa b4 so bado anasita ila atakaa sawa kama atapata ushauri mzuri
Tafuta la kukera bado hujanikera mama kijacho😂😂😂😂
Kwa mujibu wa mama kijacho nitakuwa nazo😂😂😂😂😂😂😂😂kweli huna nyege Best? 🤣🤣🤣
Kwa mujibu wa mama kijacho nitakuwa nazo😂😂😂
Kuna watu mngepewa upanga wa kwenda peponi, mngekata vichwa wengi sana.Mkiwa mnaishi pamoja?Unajuaje sasa hivi kuna mtu anakuhitaji sana lakini anasema yule ni mke wa mtu?Subra haikai ndani ya zinaa.Kama mmeishi pamoja na mnaendana kwa nini hakuoi?Ukiumwa,mawazi,kodi na kadhalika anafanya,anapenda zinaa?Je mnaswali?Ukiwa karibu na Mungu hautazini,na usipozini utathamini ndoa.Maana kama una swali huwezi kuzini,Na inaonekana nyie mnaipenda zinaa au yeye anaipenda zinaa.Kuna rafiki yangu ana mke alafu akawa ana mwanamke mwingine hawara wake.Alimpangia chumba,kula,kulala,mavazi,maradhi vyote vinamuhusu jamaa.Pia alikuwa amezaa naye.Akaamua kumuoa nikamuuliza kwa nini unaoa mke wa pili?alinijibu kwamba kama kila kitu anafanya yeye kwa nini hamuoi?Anazini kwa sababu gani?Anzeni kuswali na kuwa karibu na Mungu,lakini kama hamswali ni bure.Imagine umetoka kuswali na unaimani alafu unazini?lazima ujiskie vibaya,ukijiskia vibaya utajinasua na zinaa,ukijinasua na zinaa eitha mtaachana au mtafunga ndoa.La mwisho.NYIE HAMUENDANI HATA KIDOGO,MNGEKUWA MNAENDANA MNGEFUNGA NDOA MKAIACHA ZINAA!Mpira upo miguuni mwako huhitaji ushauri.Njia zipo mbili,motoni milele au peponi milele!Chagua ndugu muislam
Mpendwa kuna members wamekupa ushauri mzuri ila ninacho kiona kwako kwamba jamaa kwa kuwa unaishi nae pamoja una imani siku atakuoa na unajipa matumaini hewa ni chaguo lake kwa kuwa mnaishi pamoja hujiuilizi mpaka una mshauri unataka ndoa ya ubani jamaa kagoma endea kuvuta subra uvune MAJUTO
Anakutumia vipi? Wewe haumtumii..?Mtu anakutumia kama mke na mume lakini kuihalalishia HATAKI haoni muda unaenda na sisi wanawake tunawahi kubadilika kimaumbile tofauti na wanaume
Sasa kama mtu upo nae kila siku mnafanya yote kama ya kweny ndoa we unafikir huo umuhimu wa kuhalalisha ndoa atauona wapi?Ndo hapo wanapokosea wadada wengi! Wamekuwa cheap sana unakubali kuishi na jamaa na hapo unatarajia mfunge ndoa!
Kwa taarifa ya mtoa mada hii tabia yao ya kuishi kwa boifrend ndiyo imefanya vijana tusione umuhimu wa kuhalalisha/kuoa.
Siku ukijichanganya kubeba mimba una kimbiwa Bora uanze kumkimbia bila kuwa single motherHabari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Swala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini
Mungu anakuona walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namtaka wa kwako teh
Maandiko yapo wazi sio upanga,Kila mtu akae kwake waje wafunge ndoa.Huo anaofanya ni ukristo sio uislamu.Hajafunga mwezi mzima huyu dada ameshinda njaa tu na mpenzi wake.Kufunga kuna taratibu zake.Nakuuliza swali je ni nani anamkataba na Mungu ataishi mda fulani?Je dada akifa kesho?Kwa Mungu anaenda kusemaje?Tusiogope kuambiana Ukweli tukaanza sugar coating vitu kuwa ni sahihi.Ameomba Ushauri huo ndio ushauri Japo unakuwa tofauti na furaha yake.Kutembea na mke wa mtu ni Raha lakini sio sawa mtu akiomba ushauri Tutamuambia ukweli tu.I am not perfect hata mimi lakini kuna vitu ni avoidable kama zinaa au kuishi na mwanaume mkiwa mnazini.Ndoa ya mtoto wa kike lazima kuwe na Walii na idhini kutoka kwa Walii sasa jiulize mmoja akifa?Kwa Mungu?Kwa Wazazi?Kuna watu mngepewa upanga wa kwenda peponi, mngekata vichwa wengi sana.
Yaani mpaka hapo umeshahitimisha hawapendani na umeshaagiza waachane.
Ndugu maisha ya mahusiano na ndoa wakati mwingine yanaanzia sheria na desturi zinapopindishwa kidogo. Ndoa ni mchakato . Na ndoa sio vile vigelegele tu na kukubalika kwa ndugu. Subiri mwamba akamilishe malengo atafanya maamuzi. Huyu pisi kali akae tu kwa kutulia. Maana kujigeuza kwa samaki ndio kuiva kwaku huko!
Ok nimekuelewa MpendwaKishasema kwamba kafanyiwa mengi tu tena yakiwa kwenye jina lake kama kujengewa, kufunguliwa biashara, kufunguliwa bank account na kupewa hela tena anaziweka mwenyewe kwenye Bank account. Jamaa anamjali na kumthamini na kumuonyesha mapenzi na bidada anampenda mwenzie sana tu. Unadhani ni rahisi kuondoka mahali ambapo kila kitu kinaenda vizuri sana kasoro ni cheti cha