Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Mkuu kuwa mvumilivu tu,,, ndoa kama ipo itakuja

Pili ukileta mada humu usiwapangie watu nini cha kukushauri,,, tafadhali chukua ushauri utaoona unakufaa then mengine achana nayo...

Kama utotoni ulisikia wanasema Duniani kuna watu mbalimbali,,, basi sisi humu ndio hao Watu mbalimbali.

Thanks.. Jipe muda kila kitu kitaenda sawa..
 
Tatizola JF now days ni kama imevamiwa mtu yuko siriaz anaomba ushauri watu wanaleta utani,ok anyway mi niseme huyo jamaa anatakiwa tu kueleweshwa madhara ya jambo analofanya kwani inawezekana ni woga tu unamsumbua kutokana na historia labda aliwai kuumizwa b4 so bado anasita ila atakaa sawa kama atapata ushauri mzuri
 
Tatizola JF now days ni kama imevamiwa mtu yuko siriaz anaomba ushauri watu wanaleta utani,ok anyway mi niseme huyo jamaa anatakiwa tu kueleweshwa madhara ya jambo analofanya kwani inawezekana ni woga tu unamsumbua kutokana na historia labda aliwai kuumizwa b4 so bado anasita ila atakaa sawa kama atapata ushauri mzuri

Ujuaji mwingi kutaka kuonekana mwamba/jiwe hapo mtu hata bundle lake likiisha hajui anapata wapi[emoji28][emoji28]mara mambo ya kiroho sasa utataka kuniaminisha kitu ambacho sina imani nacho


Thanks kwa ushauri[emoji1431] nafsi yangu iko kwebye “inallaha maaswaabirin”[emoji2972][emoji2972]
 
Mkiwa mnaishi pamoja?Unajuaje sasa hivi kuna mtu anakuhitaji sana lakini anasema yule ni mke wa mtu?Subra haikai ndani ya zinaa.Kama mmeishi pamoja na mnaendana kwa nini hakuoi?Ukiumwa,mawazi,kodi na kadhalika anafanya,anapenda zinaa?Je mnaswali?Ukiwa karibu na Mungu hautazini,na usipozini utathamini ndoa.Maana kama una swali huwezi kuzini,Na inaonekana nyie mnaipenda zinaa au yeye anaipenda zinaa.Kuna rafiki yangu ana mke alafu akawa ana mwanamke mwingine hawara wake.Alimpangia chumba,kula,kulala,mavazi,maradhi vyote vinamuhusu jamaa.Pia alikuwa amezaa naye.Akaamua kumuoa nikamuuliza kwa nini unaoa mke wa pili?alinijibu kwamba kama kila kitu anafanya yeye kwa nini hamuoi?Anazini kwa sababu gani?Anzeni kuswali na kuwa karibu na Mungu,lakini kama hamswali ni bure.Imagine umetoka kuswali na unaimani alafu unazini?lazima ujiskie vibaya,ukijiskia vibaya utajinasua na zinaa,ukijinasua na zinaa eitha mtaachana au mtafunga ndoa.La mwisho.NYIE HAMUENDANI HATA KIDOGO,MNGEKUWA MNAENDANA MNGEFUNGA NDOA MKAIACHA ZINAA!Mpira upo miguuni mwako huhitaji ushauri.Njia zipo mbili,motoni milele au peponi milele!Chagua ndugu muislam
Kuna watu mngepewa upanga wa kwenda peponi, mngekata vichwa wengi sana.
Yaani mpaka hapo umeshahitimisha hawapendani na umeshaagiza waachane.
Ndugu maisha ya mahusiano na ndoa wakati mwingine yanaanzia sheria na desturi zinapopindishwa kidogo. Ndoa ni mchakato . Na ndoa sio vile vigelegele tu na kukubalika kwa ndugu. Subiri mwamba akamilishe malengo atafanya maamuzi. Huyu pisi kali akae tu kwa kutulia. Maana kujigeuza kwa samaki ndio kuiva kwaku huko!
 
Kishasema kwamba kafanyiwa mengi tu tena yakiwa kwenye jina lake kama kujengewa, kufunguliwa biashara, kufunguliwa bank account na kupewa hela tena anaziweka mwenyewe kwenye Bank account. Jamaa anamjali na kumthamini na kumuonyesha mapenzi na bidada anampenda mwenzie sana tu. Unadhani ni rahisi kuondoka mahali ambapo kila kitu kinaenda vizuri sana kasoro ni cheti cha ndoa tu?
Mpendwa kuna members wamekupa ushauri mzuri ila ninacho kiona kwako kwamba jamaa kwa kuwa unaishi nae pamoja una imani siku atakuoa na unajipa matumaini hewa ni chaguo lake kwa kuwa mnaishi pamoja hujiuilizi mpaka una mshauri unataka ndoa ya ubani jamaa kagoma endea kuvuta subra uvune MAJUTO
 
Mtu anakutumia kama mke na mume lakini kuihalalishia HATAKI haoni muda unaenda na sisi wanawake tunawahi kubadilika kimaumbile tofauti na wanaume
Anakutumia vipi? Wewe haumtumii..?

Kama kweli mmeishi miaka 3 basi Kwa Sheria ya JMT , mnafahamika kama mke na mme..
 
Ndo hapo wanapokosea wadada wengi! Wamekuwa cheap sana unakubali kuishi na jamaa na hapo unatarajia mfunge ndoa!

Kwa taarifa ya mtoa mada hii tabia yao ya kuishi kwa boifrend ndiyo imefanya vijana tusione umuhimu wa kuhalalisha/kuoa.
Sasa kama mtu upo nae kila siku mnafanya yote kama ya kweny ndoa we unafikir huo umuhimu wa kuhalalisha ndoa atauona wapi?
 
Habari zenu wanaJF

Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])

Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.

Swala lililonileta kwenu.

Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.

Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.

Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.

Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini

Siku ukijichanganya kubeba mimba una kimbiwa Bora uanze kumkimbia bila kuwa single mother
 
Kuna watu mngepewa upanga wa kwenda peponi, mngekata vichwa wengi sana.
Yaani mpaka hapo umeshahitimisha hawapendani na umeshaagiza waachane.
Ndugu maisha ya mahusiano na ndoa wakati mwingine yanaanzia sheria na desturi zinapopindishwa kidogo. Ndoa ni mchakato . Na ndoa sio vile vigelegele tu na kukubalika kwa ndugu. Subiri mwamba akamilishe malengo atafanya maamuzi. Huyu pisi kali akae tu kwa kutulia. Maana kujigeuza kwa samaki ndio kuiva kwaku huko!
Maandiko yapo wazi sio upanga,Kila mtu akae kwake waje wafunge ndoa.Huo anaofanya ni ukristo sio uislamu.Hajafunga mwezi mzima huyu dada ameshinda njaa tu na mpenzi wake.Kufunga kuna taratibu zake.Nakuuliza swali je ni nani anamkataba na Mungu ataishi mda fulani?Je dada akifa kesho?Kwa Mungu anaenda kusemaje?Tusiogope kuambiana Ukweli tukaanza sugar coating vitu kuwa ni sahihi.Ameomba Ushauri huo ndio ushauri Japo unakuwa tofauti na furaha yake.Kutembea na mke wa mtu ni Raha lakini sio sawa mtu akiomba ushauri Tutamuambia ukweli tu.I am not perfect hata mimi lakini kuna vitu ni avoidable kama zinaa au kuishi na mwanaume mkiwa mnazini.Ndoa ya mtoto wa kike lazima kuwe na Walii na idhini kutoka kwa Walii sasa jiulize mmoja akifa?Kwa Mungu?Kwa Wazazi?
 
Kishasema kwamba kafanyiwa mengi tu tena yakiwa kwenye jina lake kama kujengewa, kufunguliwa biashara, kufunguliwa bank account na kupewa hela tena anaziweka mwenyewe kwenye Bank account. Jamaa anamjali na kumthamini na kumuonyesha mapenzi na bidada anampenda mwenzie sana tu. Unadhani ni rahisi kuondoka mahali ambapo kila kitu kinaenda vizuri sana kasoro ni cheti cha
Ok nimekuelewa Mpendwa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom