Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yote anakufanyia kwa nini ukai kwa kutulia usubiri mpaka amue mwenyewe mfunge ndoa kipi kimepelekea ulete mada Jf zingatia sio kila anayechangia kinyume na fikra zako ukadhani anataka utoke kwenye mahusiano yako.
Nacheka huku naogopa..hivi mtu anasemaje kuna vitu naweka sawa ndipo tufunge ndoa na wakati huo huo mnaishi pamoja jamani..tena na watoto juu.
Like seriously, ni afadhali kila mtu akawa kwao/kwake ukisema nna vitu naweka sawa inaeleweka..ila mpo humo ndani pamoja. Au anaogopa kugawana mali so anatengeneza zake kabisa afu ndo aoe muanze sasa kutafuta vya pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka huku naogopa..hivi mtu anasemaje kuna vitu naweka sawa ndipo tufunge ndoa na wakati huo huo mnaishi pamoja jamani..tena na watoto juu.
Like seriously, ni afadhali kila mtu akawa kwao/kwake ukisema nna vitu naweka sawa inaeleweka..ila mpo humo ndani pamoja. Au anaogopa kugawana mali so anatengeneza zake kabisa afu ndo aoe muanze sasa kutafuta vya pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What free milk does she need, she is already being getting the free milk and more necessities. Is your definition of free milk is marriage? Literally speaking they are being married already, how can you stay for 3yrs and keep demanding that, bitch she crazy sorry for the word instead she should be investing with him in their lives. It is so absurd to ask that yet you live a marriage life. Or she is kinda person ambae amelowea kulelewa na anajua akitoka kwa jamaa imekula kwake, ukisha ambiwa kuwa nenda kama unapoteza mda huyo mwanamke alipaswa kujiongeza. In short she sounds cheap, lost and confused!! It would have been better if you asked advice on how you would make a fortune together in the position? Go get civil marriage(contractual one) you getting tired you part your ways and divide the fortune you made together. If have not mistaken, you have not contributed anything to change his life and yours just because you waiting for marriage, dada shituka unafeli mtihani?Why keeping a cow if you can get free milk?
Relax,ukiishi na mtu miezi mitatu tu huyo ni mmeo au mkeo..siyo mimi ni sheria ya ndoa hiyo..Yanga wametufundisha kufuata sheria na kanuni😀😀Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Swala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini
Kama una chura njoo kwangu nakuoa kesho tuNachoogopa naweza kuachana na huyu nikampata mwingine ana mapungufu mengi zaidi
Najipa moyo ndoa hupangwa na Mungu maybe atanioa
Au nianzishe mahusiano mengine kimya kimya
What free milk does she need, she is already being getting the free milk and more necessities. Is your definition of free milk is marriage? Literally speaking they are being married already, how can you stay for 3yrs and keep demanding that, bitch she crazy sorry for the word instead she should be investing with him in their lives. It is so absurd to ask that yet you live a marriage life. Or she is kinda person ambae amelowea kulelewa na anajua akitoka kwa jamaa imekula kwake, ukisha ambiwa kuwa nenda kama unapoteza mda huyo mwanamke alipaswa kujiongeza. In short she sounds cheap, lost and confused!! It would have been better if you asked advice on how you would make a fortune together in the position? Go get civil marriage(contractual one) you getting tired you part your ways and divide the fortune you made together. If have not mistaken, you have not contributed anything to change his life and yours just because you waiting for marriage, dada shituka unafeli mtihani?
Okay dear but my comment ilikuwa general..Kuweka vitu sawa sio Mali tu hana shida ya mali ndio maana vyote anavyonifanyia vyote Viña majina yangu peke yangu
Kuweka sawa Kama mkuu mmoja alivyosema maybe kwenye familia yao siwezijua kuna nini sababu hajawahi kunambia chochote isipokua his mom kila nikiongea nae anasema nataka mfanye harusi mwanangu
Au labda ana vitu vyake binafsi yeye kama yeye
Tunaweza kuharakisha na tusidumu tukaachana Pia tukachelewa na tukadumu
Tutofautishe kupendwa na kuonewa huruma,, [emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukiambiwa reality kuwa hupendwi unahisi unaonewa wivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angekupenda kweli angekuoa kwa heshima dada, anaweza kufanya yote hayo kwa ajili ya wewe na watoto msije hangaika ila hakupendi kama mke/msaidizi ktk maisha yake ndo maana akakutamkia nenda utafute ndoa kwa mwanaume mwingine,, hii kauli tu ilitosha kuachana nae
Huyo kuna sehemu anapasubiria akaoe.Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Swala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini
Huyo kuna sehemu anapasubiria akaoe.
Bibie sikufichi sisi ndiyo waoaji,asikwambie mtu tukimpenda Mwanamke kweli lazima tumuoe labda akatae yeye.
Kingine mnakubali vipi kuishi pamoja pasi na ndoa na hizo funga zenu mnaziweka rehani.
La mwisho acheni kujiendekeza utakuja kufanya kazi mara mbili.
Acha kujifanya nabii wewe!Zinaa inahalalishwa kwa kufunga ndoa?
Acheni kumchezea Muumba wenu ninyi. Mnakaa kwenye zinaa na kuishi maisha ya zinaa, hamjui kuwa mmeambiwa "ikimbieni zinaa"?
Kwanini usiache zinaa kwanza kisha ndio uitafute hiyo ndoa. Kama unajitambua na una hofu ya MUNGU, basi ondoka kwa huyo Mwanaume, jitenge na zinaa. Kama ana nia na wewe atakuja kuleta mahari kwenu na atakuoa.
Lakini kama hauna hofu ya MUNGU, basi wewe endelea na zinaa yako. Utavuna unachokipanda sasa hivi.
Ila kuna vichenguzi vya funga,sasa sijui hujaviona ?Ndio kwanzaaaa nakusikia wewe kuna nyuzi ngapi humu wanaume wanasema sioi sioi sioi Au huzionagi? Kingine mada imeisha...!!! Anayeijua funga ya mtu ni M/mungu mwenyewe that’s all!!
MADA IMEISHA
SITOJIBU COMMENT NYINGINE YOYOTE
Wakati mnazaa namna hio we kwenu wazazi hakuna ama? Au wameridhia uwekwe kinyumba bila ndoa sababu bwana ana hela?Kimaisha yuko vizuri tu na mimi wala sio tegemezi kwake kila mtu anakazi zake (tunasaidiana)
Usahihi (hapo anajua yeye sasa maybe ameona mimi sio sahihi kwake)
Umri ana 35 mimi niko na 25yrs, naona hapo kwenye utayari wa kuoa kwake yeye mwenzangu bado
Kuishi pamoja, alinikuta najitegemea na yeye alikua anajitegemea, mawazo yake akasema tutafute nyumba kubwa tuishi pamoja hatukua na muda mrefu tangu tuanze mahusiano almost a month tu hivj, so kuanzia hapo hadi sasa tunaishi pamoja mkoa x
Kuzungumzia ndoa
Nimeacha
Ila as wapenzi ni kitu ambacho naona kinaniumiza na yeye ukitaka akose raha basi zungumzia kuhusu ndoa siku nzima atashinda hana furaha kwahiyo kauli yangu ya mwisho nilimwambia sitozungumzia tena kuhusu ndoa ye mwenyewe akiona sasa yuko tayari sawa
Ila ndani kwa ndani naumia sana, kuna leo na kesho hatuijui kesho yetu na bado tunazaa binafsi sipendi lakini sasa sina uwezo wa kulizuia hilo[emoji17][emoji17] sitaki hata sherehe nimemwambia tuhalalishe tu hata watoto wae wa ndani ya ndoa na tuwe tumekamilisha angalau nusu ya dini inavyotaka
Wewe ndo ukojoe ukalale au hujui stress hazifai kwa mama mjamzito! Vipi ushampikia daku mumeo? 😂😂😂 Na bado ndoa umenyimwa 😂😂😂 ndoa Ni bahati si Kila mtu ako nayo😛😛😛Sawa umeshinda sipendwi... umefurahi ee[emoji38][emoji38][emoji38] haya kakojoe ulale sasa
Kuonewa huruma nako raha maana wangapi wanatendwa wanaachwa na watoto wanahangaika[emoji848][emoji848] wangapi wameolewa kwa heshima mwisho wa siku waume zao wa ndoa wamewachoma kwa magunia ya mkaa nk
Ukiona sipendwi naonewa huruma na watoto wasijehangaika Hilo tu kwangu linatosha amethamini damu yake[emoji18]na mama yao...aum
Utamuacha huku una watoto watatu nae 😅😅😅 unafikiri ni jepesi hilo! Sema hadi atakapokuacha yeyeWanaume wenyewe wapo sasa??? Majanga matupu
Na kuachana na mtu ambaye mnaendana kwa asilimia kubwa sio rahisi kihivyo
Binafsi naona nijipe muda na sub’rah nimejiwekea miaka 3 ndani ya hiyo miaka3 nikiona bado hayuko tayari basi nitamuacha kiamani tu