Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Hello sweet darling,, uko sahihi sana, ila tu hapo kwenye uzinifu wake kusema anafanya ukristo nadhani Ni kujaribu kuukwepa ukweli ya kuwa kaaibisha uislam, aina yake ya uolewaji haitambuliki popote iwe ukristo ama uislam, sio busara kuhamisha magoli ulichofanya hapa ni kudhihaki ukristo,,

Yani muislamu akikosea mna tabia ya kuwakana na kuwasukumizia kwenye ukristo hamuwezi kuonyesha utakatifu wenu pasipo kudhihaki ukristo🀷
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua kumkera mama kijacho wa dunia[emoji14][emoji14]

Endelea kujidanganya[emoji28][emoji28] huna ulichonikera zaidi ya nyege zinazokusumbua tu Tafuta bwana dada usiniletee nyege zako hapa tafuta pakuzipeleka[emoji3526][emoji1362]
 

Ushakimbilia mambo ya dini mama wa kiroho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nenda basi ukaombewe hilo pepo la nyege likutoke
 
Utakoma ..bado hujastuka tu? Aise mwanaume akikupenda baba ..ndoa ni lazima, Kama umeshamuuliza Mara kibao basi chukulia wewe ni starehe tu ..utaja stuka mwenzio kaolewa na wewe upo upo tu Kama goli kipa ..wee endeleq kumpa muda wakati yeyey Ana yake moyoni.
Sisi wanaume tuna akili za ajabu ajabu shauri yako.
 
Mimi naona familia haina shida sababu hata mama mkwe anaongeaga nae vizuri tu..naona shida ipo kwa mkaka. Ndio maana nika mention na umri sababu kwa umri huo kwa mtu muoaji hana cha kusubiri.
 
Duh, pole, tatizo ndoa siyo kitu cha kukimbilia, labda mwenzako hajawa tayari, labda anaogopa kuhalalisha mapenzi yenu kwa kuogopa mambo ya kileo, yale ya leo furaha, baada ya miezi kadhaa maugomvi ya kufa mtu, ila uamuzi unao wewe, kuvumilia au kutafuta ndoa kwa wengine,,,,
 
Endelea kujidanganya[emoji28][emoji28] huna ulichonikera zaidi ya nyege zinazokusumbua tu Tafuta bwana dada usiniletee nyege zako hapa tafuta pakuzipeleka[emoji3526][emoji1362]
Nilisema nitatoka hapa nitakapotaka Mimi, ukiona nakukera fanya kuniblock mbona rahisi
 
Ushakimbilia mambo ya dini mama wa kiroho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nenda basi ukaombewe hilo pepo la nyege likutoke
Nadhani hii post Ni kubwa kwako ungeipita tu, niliyemquote kazungumzia dini au hujaona ila tu nilipojibu Mimi ndo pameonekana dini,,

Tunajadili maisha yako uliyoamua kuyaleta mtandaoni sio nyege zangu nadhani, usihamishe mada binti sijawahi kuleta mjadala mtandaoni kuhusu nyege zangu,, tuko sawasawa
 
Dear mpotezee nimeelewa why jamaa kamgomea ndoa ana lugha chafu kama tungesikia na upande wa pili why kagoma na uhakika tungempokeza kwa hilo.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha maalim seif jamani Sawa sawaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…