Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
😂😂😂😂 Nilijua kumkera mama kijacho wa dunia😛😛Mungu anakuona walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Nilijua kumkera mama kijacho wa dunia😛😛Mungu anakuona walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hello sweet darling,, uko sahihi sana, ila tu hapo kwenye uzinifu wake kusema anafanya ukristo nadhani Ni kujaribu kuukwepa ukweli ya kuwa kaaibisha uislam, aina yake ya uolewaji haitambuliki popote iwe ukristo ama uislam, sio busara kuhamisha magoli ulichofanya hapa ni kudhihaki ukristo,,Maandiko yapo wazi sio upanga,Kila mtu akae kwake waje wafunge ndoa.Huo anaofanya ni ukristo sio uislamu.Hajafunga mwezi mzima huyu dada ameshinda njaa tu na mpenzi wake.Kufunga kuna taratibu zake.Nakuuliza swali je ni nani anamkataba na Mungu ataishi mda fulani?Je dada akifa kesho?Kwa Mungu anaenda kusemaje?Tusiogope kuambiana Ukweli tukaanza sugar coating vitu kuwa ni sahihi.Ameomba Ushauri huo ndio ushauri Japo unakuwa tofauti na furaha yake.Kutembea na mke wa mtu ni Raha lakini sio sawa mtu akiomba ushauri Tutamuambia ukweli tu.I am not perfect hata mimi lakini kuna vitu ni avoidable kama zinaa au kuishi na mwanaume mkiwa mnazini.Ndoa ya mtoto wa kike lazima kuwe na Walii na idhini kutoka kwa Walii sasa jiulize mmoja akifa?Kwa Mungu?Kwa Wazazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua kumkera mama kijacho wa dunia[emoji14][emoji14]
Sasa tatizo kwamba haimtaki ndugu yetu au haitaki mwanaume aoe? The guy is 35 for God's sake..Familia upande wa mwanaume inaweza kua tatizo
Hello sweet darling,, uko sahihi sana, ila tu hapo kwenye uzinifu wake kusema anafanya ukristo nadhani Ni kujaribu kuukwepa ukweli ya kuwa kaaibisha uislam, aina yake ya uolewaji haitambuliki popote iwe ukristo ama uislam, sio busara kuhamisha magoli ulichofanya hapa ni kudhihaki ukristo,,
Yani muislamu akikosea mna tabia ya kuwakana na kuwasukumizia kwenye ukristo hamuwezi kuonyesha utakatifu wenu pasipo kudhihaki ukristo[emoji1745]
After how long?ananiambia kabisa sipo tayari kwasasa but i’ll marry you
Mimi naona familia haina shida sababu hata mama mkwe anaongeaga nae vizuri tu..naona shida ipo kwa mkaka. Ndio maana nika mention na umri sababu kwa umri huo kwa mtu muoaji hana cha kusubiri.[emoji23] [emoji23] kwamba hujaelewa hapo au mpaka niandike kabisa, namaanisha hatakiwi upande wa kiumeni ila hamna ushahidi awe mvumilivu tu
hilo swala inaweza kua sababu sema mwanaume anampenda binti anaona asimuache hivi hivi kaamua kumjengea na mjengo na kumpa umiliki kwa baadhi ya mali, jamaa ni muungwan sana hamna ndoa hapo.
Duh, pole, tatizo ndoa siyo kitu cha kukimbilia, labda mwenzako hajawa tayari, labda anaogopa kuhalalisha mapenzi yenu kwa kuogopa mambo ya kileo, yale ya leo furaha, baada ya miezi kadhaa maugomvi ya kufa mtu, ila uamuzi unao wewe, kuvumilia au kutafuta ndoa kwa wengine,,,,Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Swala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini
Nilisema nitatoka hapa nitakapotaka Mimi, ukiona nakukera fanya kuniblock mbona rahisiEndelea kujidanganya[emoji28][emoji28] huna ulichonikera zaidi ya nyege zinazokusumbua tu Tafuta bwana dada usiniletee nyege zako hapa tafuta pakuzipeleka[emoji3526][emoji1362]
Nadhani hii post Ni kubwa kwako ungeipita tu, niliyemquote kazungumzia dini au hujaona ila tu nilipojibu Mimi ndo pameonekana dini,,Ushakimbilia mambo ya dini mama wa kiroho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nenda basi ukaombewe hilo pepo la nyege likutoke
[emoji23][emoji23][emoji1787]Kwa kweli inabidi niwe mpole tu na WADUDU Kwa sana[emoji2972]
Dear mpotezee nimeelewa why jamaa kamgomea ndoa ana lugha chafu kama tungesikia na upande wa pili why kagoma na uhakika tungempokeza kwa hilo.Nadhani hii post Ni kubwa kwako ungeipita tu, niliyemquote kazungumzia dini au hujaona ila tu nilipojibu Mimi ndo pameonekana dini,,
Tunajadili maisha yako uliyoamua kuyaleta mtandaoni sio nyege zangu nadhani, usihamishe mada binti sijawahi kuleta mjadala mtandaoni kuhusu nyege zangu,, tuko sawasawa
Hapambani sasa..[emoji1787][emoji1787]Sio kweli mtu akikupenda atapambana tu muwe wote hata 2030
Kwa mujibu wa mama kijacho nitakuwa nazo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani hii post Ni kubwa kwako ungeipita tu, niliyemquote kazungumzia dini au hujaona ila tu nilipojibu Mimi ndo pameonekana dini,,
Tunajadili maisha yako uliyoamua kuyaleta mtandaoni sio nyege zangu nadhani, usihamishe mada binti sijawahi kuleta mjadala mtandaoni kuhusu nyege zangu,, tuko sawasawa
Msumari wa moto..'A man can date you for 6 good years while looking for the love of his life'
-Unknown.
Acha kuwasikilizia binadamu wewe, utapagawa bure...watoto ni watoto wote wanaumbwa na MunguTunaishi pamoja
Dini yetu hairuhusu hivyo hata watoto wanahesabiwa ni wazinaa