Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Nachoogopa naweza kuachana na huyu nikampata mwingine ana mapungufu mengi zaidi

Najipa moyo ndoa hupangwa na Mungu maybe atanioa

Au nianzishe mahusiano mengine kimya kimya
Now you are talking, come this way please, (inbox)
 
Shikamoo shemeji. Hivi hizi comments ni za kwako au? Hadi wewe mzee wa "Audition" unasema hivi? Mungu azidi kunipa hekima na maarifa ya kuwalisha mabinti zangu na wenyewe wakawe wasikivu IJN
Marhabaa shem, unajua ile probation muhimu ila kwa muda maalumu sasa mtu anayefanya makusudi kutokuoa na hela anazo naona anazingua! Sie tulifanya yale sababu hela hatukuwa nazo by that time!

Sasa mwanamke unaye 3 plus years hana baya si unaoa zako tu ila unapokwepa kumuoa unaonekana muhuni!
 
Wanawake usijaribu kumwambia mwanaume nione au twende kwenu akiona unafaa atajiongoza yeye mwenyewe
 
upewe ulinzi mkuu.. Pisi kali majibu haya hayahitaji kuchanganya na zako.
 
Nilimjibu mtoa comment kule juu aliposema unaonewa wivu sababu ya nyumba na magari nikamuonesha kuwa mtu yeyote anaweza kusema anavyo hivyo vitu..je ataonewa wivu? na ndio nikatoa huo mfano, practically sina.. wewe ndo umepewa kila kitu mwaya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hivyo basi SIONDOKI SIMUACHI Ndio kwanzaaa nazidi kushikilia msukani
Dada relax..unatafuta chokochoko ambapo hata hazihitajiki. Mimi sio mtu wa ligi tafadhali
 
Mama kijacho wangu sikuoi mpaka uache kubeti..si nishakuambia mbona hutaki kuelewa?

Kidding..Muombe Mungu kwanza mtoto azaliwe vizuri na awe na afya njema,then uone mwenendo wa huyo baba yake.
 
Hukulogwa maku wewe!?
 
Mmmmh na hapo ndo mtego ulipo.... We unaandaliwa maisha mazuri bila mateso na huyo kijacho wenu but hana mpango wa kukuoa rafiki

Unapewa hivo vitu ili msisiumbuane badae[emoji848]
 
Hivi Kuna mtu kakwambia uachane nae au ni wewe na muhaho wako umeleta hii mada...wachangiaje tujimwaye mwaye[emoji848]

Utapigwa tukio hutaamini bahati mbaya hatukujui so utalia mwenyewe huko
 
Asipoelewa hapa basi[emoji848][emoji848]

Mwanaume anayekupenda hawezi kukwambia hivo asee

Na akimgusia ndoa jamaaa anakosa hamu, anatamani amwambie ukweli...but iko siku atajilipua
 
Wewe mbona nakumanya vizuri, probation lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…