Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Nachoogopa naweza kuachana na huyu nikampata mwingine ana mapungufu mengi zaidi

Najipa moyo ndoa hupangwa na Mungu maybe atanioa

Au nianzishe mahusiano mengine kimya kimya
Now you are talking, come this way please, (inbox)
 
Shikamoo shemeji. Hivi hizi comments ni za kwako au? Hadi wewe mzee wa "Audition" unasema hivi? Mungu azidi kunipa hekima na maarifa ya kuwalisha mabinti zangu na wenyewe wakawe wasikivu IJN
Marhabaa shem, unajua ile probation muhimu ila kwa muda maalumu sasa mtu anayefanya makusudi kutokuoa na hela anazo naona anazingua! Sie tulifanya yale sababu hela hatukuwa nazo by that time!

Sasa mwanamke unaye 3 plus years hana baya si unaoa zako tu ila unapokwepa kumuoa unaonekana muhuni!
 
Wanawake usijaribu kumwambia mwanaume nione au twende kwenu akiona unafaa atajiongoza yeye mwenyewe
 
Zinaa inahalalishwa kwa kufunga ndoa?

Acheni kumchezea Muumba wenu ninyi. Mnakaa kwenye zinaa na kuishi maisha ya zinaa, hamjui kuwa mmeambiwa "ikimbieni zinaa"?

Kwanini usiache zinaa kwanza kisha ndio uitafute hiyo ndoa. Kama unajitambua na una hofu ya MUNGU, basi ondoka kwa huyo Mwanaume, jitenge na zinaa. Kama ana nia na wewe atakuja kuleta mahari kwenu na atakuoa.
Lakini kama hauna hofu ya MUNGU, basi wewe endelea na zinaa yako. Utavuna unachokipanda sasa hivi.
upewe ulinzi mkuu.. Pisi kali majibu haya hayahitaji kuchanganya na zako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hapo utataka mashindano na wala Sipo kwaajili ya mashindano kuna watu wamepata zaidi ya nilivyovipata na wapo ambao hawajapata ya robo ya nilivyovipata[emoji4][emoji4]

Hata hadi kusema sikutaka kusema[emoji1362]
Nilimjibu mtoa comment kule juu aliposema unaonewa wivu sababu ya nyumba na magari nikamuonesha kuwa mtu yeyote anaweza kusema anavyo hivyo vitu..je ataonewa wivu? na ndio nikatoa huo mfano, practically sina.. wewe ndo umepewa kila kitu mwaya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hivyo basi SIONDOKI SIMUACHI Ndio kwanzaaa nazidi kushikilia msukani
Dada relax..unatafuta chokochoko ambapo hata hazihitajiki. Mimi sio mtu wa ligi tafadhali
 
Mama kijacho wangu sikuoi mpaka uache kubeti..si nishakuambia mbona hutaki kuelewa?

Kidding..Muombe Mungu kwanza mtoto azaliwe vizuri na awe na afya njema,then uone mwenendo wa huyo baba yake.
 
Ngoja nikuambie kitu.

Binafsi kuna msichana nilidate nae muda kama wa kwenu tu, around 3 years. Naweza sema 70% ya muda wake kwenye hyo miaka aliishi na mimi. Tulikua tunaendana sanaaa. Nilimpa matumizi yakutosha, na kumnyandua vya kutosha pia.

Niliachana nae baada ya yeye kuanza kuforce sana ndoa. Huko nyuma alikua akigusia hilo swala namwambia tu I'll marry you, nipe muda. Lakini nilikua najua 100% I won't.

Kuna tabia nilikua naweza tolerate kwa girlfriend lakini sio kwa mama wa familia, kuna mkuu amegusia hili juu. I kept her around mostly kwasabab nilikua napata papuchi ya kutosha. Lakini sikutaka commitment nae ya ndoa.

Simjui jamaa wako so anaweza asiwe hvo lakini trust me. Kuna chance kubwa huna kitu hapo, unatumika tu. Ujinga wa mapenzi ni kwamba tu hayashauriki.
Hukulogwa maku wewe!?
 
Inawezekana ikawa ni kweli pia


Lakini tusemeni ukweli kwa dunia ya sasa kuna mwanaume tu anaweza kumjengea mtu asiyemuhitaji? Akamfungulia biashara tena kubwa haswa na usafiri juu na vyote Viña majina yangu peke yangu bado kamfungulia kijacho wetu junior acc hela ananipa mwenyewe nikaweke

Kuanzia kiwanja nilitafuta mwenyewe yeye alinipa hela tu 16m na engineer nilitafuta mwenyewe kuanzia ramani hadi ujenzi nafatilia mwenyewe yeye anauliza tu imefikia wapi mafundi vipi na imemtoka more than 20m hadi sasa kwenye huo ujenzi na bado haijaisha, vyote hivyo alisema mwenyewe mke wangu Tafuta kiwanja unakokupenda nakununulia ee jamani tusiwe waongo wapo kweli?? Kama ya kutolea tu wanalilia

Bado nikiumwa hata ukucha iwe usiku wa manane atahakikisha nakua Sawa, nimetoka hosp nilivyojifunga vyote alikua ananifanyia mwenyewe kuanzia kunikanda maji kujua nakula nini kunicomfort sababu tulipoteza mtoto

Nimeshakua na watu kadhaa wazo tu la kimaendeleo hawakua nayo zaidi ya kuonana kunjunjana basii nimepata huyo ananiridhisha [emoji817] bado ananipa furaha tele

Tulizika mtoto akaomba likizo ya 1month tunakawa tunashinda wote tu hadi likizo imeisha

Hayo ni mema yake machache tu ambayo huko nyuma sikuwahi kuyapata

Mpaka namwambiaga Mbona unanifanyia mambo mengi hivi tena mazuri nitakulipa nini?? Anachonijibu ni ananipenda kweli na cha kumlipa ni kutokumsaliti na kuwa muanifu kwake basi, zaidi zaidi anatamani sana mtoto na Mimi sanaaa
Mmmmh na hapo ndo mtego ulipo.... We unaandaliwa maisha mazuri bila mateso na huyo kijacho wenu but hana mpango wa kukuoa rafiki

Unapewa hivo vitu ili msisiumbuane badae[emoji848]
 
That’s your opinion siwezi kukubishia....

I met him with nothing only his job, kanikuta kwangu kwa mawazo yake akaona tuishi pamoja nimeplay part kubwa sana sana kwenye maisha yake that’s why hé decided kufanya Ali/anavyonifanyia siwezi kuongea nimefanya hivi na hivi

Na mm siogopi maisha, nimeanza biashara kuanzia niko o level to A level, chuo hadi sasa hata yeye ni amenipanulia tu nina vitu vyangu tofauti na alivyonipa yeye, nawasomesha wadogo zangu wawili na sio kwa kumtegemea yeye


Inshort recently

I CANNOT LEAVE HIM, sikuja kuomba ushauri wa kuachana nae[emoji1362]
Hivi Kuna mtu kakwambia uachane nae au ni wewe na muhaho wako umeleta hii mada...wachangiaje tujimwaye mwaye[emoji848]

Utapigwa tukio hutaamini bahati mbaya hatukujui so utalia mwenyewe huko
 
Tutofautishe kupendwa na kuonewa huruma,, [emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukiambiwa reality kuwa hupendwi unahisi unaonewa wivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angekupenda kweli angekuoa kwa heshima dada, anaweza kufanya yote hayo kwa ajili ya wewe na watoto msije hangaika ila hakupendi kama mke/msaidizi ktk maisha yake ndo maana akakutamkia nenda utafute ndoa kwa mwanaume mwingine,, hii kauli tu ilitosha kuachana nae
Asipoelewa hapa basi[emoji848][emoji848]

Mwanaume anayekupenda hawezi kukwambia hivo asee

Na akimgusia ndoa jamaaa anakosa hamu, anatamani amwambie ukweli...but iko siku atajilipua
 
Wewe mbona nakumanya vizuri, probation lazima
Marhabaa shem, unajua ile probation muhimu ila kwa muda maalumu sasa mtu anayefanya makusudi kutokuoa na hela anazo naona anazingua! Sie tulifanya yale sababu hela hatukuwa nazo by that time!

Sasa mwanamke unaye 3 plus years hana baya si unaoa zako tu ila unapokwepa kumuoa unaonekana muhuni!
 
Back
Top Bottom