clever touch
Member
- Jun 29, 2014
- 39
- 96
Hapana sio ivo! Ila kama wewe ndio ulinifata sawaUkatili wa kijinsia huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio ivo! Ila kama wewe ndio ulinifata sawaUkatili wa kijinsia huo
Now you are talking, come this way please, (inbox)Nachoogopa naweza kuachana na huyu nikampata mwingine ana mapungufu mengi zaidi
Najipa moyo ndoa hupangwa na Mungu maybe atanioa
Au nianzishe mahusiano mengine kimya kimya
Marhabaa shem, unajua ile probation muhimu ila kwa muda maalumu sasa mtu anayefanya makusudi kutokuoa na hela anazo naona anazingua! Sie tulifanya yale sababu hela hatukuwa nazo by that time!Shikamoo shemeji. Hivi hizi comments ni za kwako au? Hadi wewe mzee wa "Audition" unasema hivi? Mungu azidi kunipa hekima na maarifa ya kuwalisha mabinti zangu na wenyewe wakawe wasikivu IJN
hahahahaHapana sio ivo! Ila kama wewe ndio ulinifata sawa
Ugunduwe kwamba kumbe mifugo inaweza kujilisha kwenye shamba la mtu mwingine!Maziwa napata
Nyama napata
Hadi mbolea
Sasa nifuge nigundue nini
Kama ni hivyo basi endeleeni kutenda dhambi tu!Alifariki ila tunategemea kupata mwingine soon Mungu akipenda[emoji2972]
upewe ulinzi mkuu.. Pisi kali majibu haya hayahitaji kuchanganya na zako.Zinaa inahalalishwa kwa kufunga ndoa?
Acheni kumchezea Muumba wenu ninyi. Mnakaa kwenye zinaa na kuishi maisha ya zinaa, hamjui kuwa mmeambiwa "ikimbieni zinaa"?
Kwanini usiache zinaa kwanza kisha ndio uitafute hiyo ndoa. Kama unajitambua na una hofu ya MUNGU, basi ondoka kwa huyo Mwanaume, jitenge na zinaa. Kama ana nia na wewe atakuja kuleta mahari kwenu na atakuoa.
Lakini kama hauna hofu ya MUNGU, basi wewe endelea na zinaa yako. Utavuna unachokipanda sasa hivi.
Nilimjibu mtoa comment kule juu aliposema unaonewa wivu sababu ya nyumba na magari nikamuonesha kuwa mtu yeyote anaweza kusema anavyo hivyo vitu..je ataonewa wivu? na ndio nikatoa huo mfano, practically sina.. wewe ndo umepewa kila kitu mwaya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hapo utataka mashindano na wala Sipo kwaajili ya mashindano kuna watu wamepata zaidi ya nilivyovipata na wapo ambao hawajapata ya robo ya nilivyovipata[emoji4][emoji4]
Hata hadi kusema sikutaka kusema[emoji1362]
Dada relax..unatafuta chokochoko ambapo hata hazihitajiki. Mimi sio mtu wa ligi tafadhali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hivyo basi SIONDOKI SIMUACHI Ndio kwanzaaa nazidi kushikilia msukani
Sawa.Level gani? Ya wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ye aendelee kushadadia comment tu hapa
Dada sina chochote hapo nilimjibu mtoa comment tunamuonea wivu mwenzetu kisa ameandikishwa sijui nini..na mimi nimetaja hapo nione kama ntaonewa wivu kama ni rahisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuwa na furaha Hilo ndo la muhimu mengineyo yanatafutwa, hongera
Hukulogwa maku wewe!?Ngoja nikuambie kitu.
Binafsi kuna msichana nilidate nae muda kama wa kwenu tu, around 3 years. Naweza sema 70% ya muda wake kwenye hyo miaka aliishi na mimi. Tulikua tunaendana sanaaa. Nilimpa matumizi yakutosha, na kumnyandua vya kutosha pia.
Niliachana nae baada ya yeye kuanza kuforce sana ndoa. Huko nyuma alikua akigusia hilo swala namwambia tu I'll marry you, nipe muda. Lakini nilikua najua 100% I won't.
Kuna tabia nilikua naweza tolerate kwa girlfriend lakini sio kwa mama wa familia, kuna mkuu amegusia hili juu. I kept her around mostly kwasabab nilikua napata papuchi ya kutosha. Lakini sikutaka commitment nae ya ndoa.
Simjui jamaa wako so anaweza asiwe hvo lakini trust me. Kuna chance kubwa huna kitu hapo, unatumika tu. Ujinga wa mapenzi ni kwamba tu hayashauriki.
Mmmmh na hapo ndo mtego ulipo.... We unaandaliwa maisha mazuri bila mateso na huyo kijacho wenu but hana mpango wa kukuoa rafikiInawezekana ikawa ni kweli pia
Lakini tusemeni ukweli kwa dunia ya sasa kuna mwanaume tu anaweza kumjengea mtu asiyemuhitaji? Akamfungulia biashara tena kubwa haswa na usafiri juu na vyote Viña majina yangu peke yangu bado kamfungulia kijacho wetu junior acc hela ananipa mwenyewe nikaweke
Kuanzia kiwanja nilitafuta mwenyewe yeye alinipa hela tu 16m na engineer nilitafuta mwenyewe kuanzia ramani hadi ujenzi nafatilia mwenyewe yeye anauliza tu imefikia wapi mafundi vipi na imemtoka more than 20m hadi sasa kwenye huo ujenzi na bado haijaisha, vyote hivyo alisema mwenyewe mke wangu Tafuta kiwanja unakokupenda nakununulia ee jamani tusiwe waongo wapo kweli?? Kama ya kutolea tu wanalilia
Bado nikiumwa hata ukucha iwe usiku wa manane atahakikisha nakua Sawa, nimetoka hosp nilivyojifunga vyote alikua ananifanyia mwenyewe kuanzia kunikanda maji kujua nakula nini kunicomfort sababu tulipoteza mtoto
Nimeshakua na watu kadhaa wazo tu la kimaendeleo hawakua nayo zaidi ya kuonana kunjunjana basii nimepata huyo ananiridhisha [emoji817] bado ananipa furaha tele
Tulizika mtoto akaomba likizo ya 1month tunakawa tunashinda wote tu hadi likizo imeisha
Hayo ni mema yake machache tu ambayo huko nyuma sikuwahi kuyapata
Mpaka namwambiaga Mbona unanifanyia mambo mengi hivi tena mazuri nitakulipa nini?? Anachonijibu ni ananipenda kweli na cha kumlipa ni kutokumsaliti na kuwa muanifu kwake basi, zaidi zaidi anatamani sana mtoto na Mimi sanaaa
Hivi Kuna mtu kakwambia uachane nae au ni wewe na muhaho wako umeleta hii mada...wachangiaje tujimwaye mwaye[emoji848]That’s your opinion siwezi kukubishia....
I met him with nothing only his job, kanikuta kwangu kwa mawazo yake akaona tuishi pamoja nimeplay part kubwa sana sana kwenye maisha yake that’s why hé decided kufanya Ali/anavyonifanyia siwezi kuongea nimefanya hivi na hivi
Na mm siogopi maisha, nimeanza biashara kuanzia niko o level to A level, chuo hadi sasa hata yeye ni amenipanulia tu nina vitu vyangu tofauti na alivyonipa yeye, nawasomesha wadogo zangu wawili na sio kwa kumtegemea yeye
Inshort recently
I CANNOT LEAVE HIM, sikuja kuomba ushauri wa kuachana nae[emoji1362]
Haifungwi hii[emoji28][emoji28][emoji28]Asanteni nyote mlionipa ushauri nimepata mawazo mapya
Naomba mada ifungwe jamani[emoji1670]
Asipoelewa hapa basi[emoji848][emoji848]Tutofautishe kupendwa na kuonewa huruma,, [emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukiambiwa reality kuwa hupendwi unahisi unaonewa wivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angekupenda kweli angekuoa kwa heshima dada, anaweza kufanya yote hayo kwa ajili ya wewe na watoto msije hangaika ila hakupendi kama mke/msaidizi ktk maisha yake ndo maana akakutamkia nenda utafute ndoa kwa mwanaume mwingine,, hii kauli tu ilitosha kuachana nae
Marhabaa shem, unajua ile probation muhimu ila kwa muda maalumu sasa mtu anayefanya makusudi kutokuoa na hela anazo naona anazingua! Sie tulifanya yale sababu hela hatukuwa nazo by that time!
Sasa mwanamke unaye 3 plus years hana baya si unaoa zako tu ila unapokwepa kumuoa unaonekana muhuni!
Mnamuua mwenzenu aisee 🤓🤓🤓Asipoelewa hapa basi[emoji848][emoji848]
Mwanaume anayekupenda hawezi kukwambia hivo asee
Na akimgusia ndoa jamaaa anakosa hamu, anatamani amwambie ukweli...but iko siku atajilipua