Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Ninong'oneze PM
 
Dada sina chochote hapo nilimjibu mtoa comment tunamuonea wivu mwenzetu kisa ameandikishwa sijui nini..na mimi nimetaja hapo nione kama ntaonewa wivu kama ni rahisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oooh kumbe😂😂😂 Ni mjinga pekee ndie atakaechachawa na maisha ya mtu wa kwenye mtandao wa wasiojulikana, tatizo jamii zetu Ni maskini Sana kiasi kwamba mali/vitu zinatumika km tusi kwa upande pinzani,, muhimu ni Amani ya nafsi, je una furaha na umeridhika na maisha unayoishi?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16] we jeuri sana asee, uzi ulete mwenyewe afu upangie watu cha kupost[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Asipoelewa hapa basi[emoji848][emoji848]

Mwanaume anayekupenda hawezi kukwambia hivo asee

Na akimgusia ndoa jamaaa anakosa hamu, anatamani amwambie ukweli...but iko siku atajilipua
Tumeongezeka wenye kuona wivu😂😂 wit hebu niache nibebike na shemeji yako mimi, mtizamo wangu nimeutoa, na inatosha
 
Jaribu kumuacha.uone itakuwaje wanawake wengi kabla ya ndoa huwa makini sana ila baadhi yenu mkipata ndoa matatizo yanaanza tulia ndugu yangu wanaume wengi wasasa acha ninyamaze acha imani potofu eti hakupendi siunaona wenzako wanatafuta wanaume?
 
Ushakimbilia mambo ya dini mama wa kiroho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nenda basi ukaombewe hilo pepo la nyege likutoke
Ila una mdomo mchafu mweeh[emoji134][emoji134]

Kama sio gahawa hii hata angekuwa mimi ni huyo jamaa ako sikuoi mpaka utoke mvi za mnduku[emoji848]
 
We una akili[emoji122][emoji122]
 
Imagine uone wivu kwa mtu humjui kisa ame mention material stuffs..yani nachekaaa..ukiongea unaonekana huna. Dah
 
Jiweke wewe upunguze utoko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]uache kutoa harufu Kama kuna paka kaozea huko ndani[emoji18]Ndio maana hupati bwana
Khaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mwanzoni nilipokuwa ninasoma comments zako nilikuona ni dada muelewa, mstahimilivu na mwenye busara sana, kumbe nilikosea mno.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…