Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Kuna kitu cha kiroho ningekusaidia kukufungua macho ila sababu unajitia kiburi basi utakula jeuri yako,, Kama nakumbuka vizuri hata ujauzito wa Kwanza uliuleta humu na ukakwaruzana na wachangiaji (wafukua makaburi watanisaidia hili) sasa hapo ni katka keyboard je huko mtaani wanaokujua hali ikoje!!!!
Ninong'oneze PM
 
Dada sina chochote hapo nilimjibu mtoa comment tunamuonea wivu mwenzetu kisa ameandikishwa sijui nini..na mimi nimetaja hapo nione kama ntaonewa wivu kama ni rahisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oooh kumbe😂😂😂 Ni mjinga pekee ndie atakaechachawa na maisha ya mtu wa kwenye mtandao wa wasiojulikana, tatizo jamii zetu Ni maskini Sana kiasi kwamba mali/vitu zinatumika km tusi kwa upande pinzani,, muhimu ni Amani ya nafsi, je una furaha na umeridhika na maisha unayoishi?
 
Jeuri mwenzie kusudi Haya endelea kufukua makaburi

Kwahiyo unataka kusema mtoto walimuua wanajf hongera mwana wa kiroho[emoji122][emoji122] kumbuka tu hakuna linalotokea bila Mungu kutolipitisha tena ongea yote achana na maswala ya ujauzito wangu dada please

Wewe unayebishana na mtu ambaye hata humjui unauhakika gani ya kwenye keyboard yote ni ya kweli? Kama unaweza kungngnia kubishana na mtu ambaye humfahamu hata jinsia yake kwa masaa mengi hivyo kazi unafanya saa ngapi? Unaoishi nao wanapata tabu sana dada na ujuaji wako!!! Endelea kujua

Na wala sihitaji unisaidie hicho kitu cha kiroho ukiwasaidia wengine inatosha

Nimeshasema sitaki ushauri Mbona umenishikilia wewe dada vipi kwani????
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16] we jeuri sana asee, uzi ulete mwenyewe afu upangie watu cha kupost[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Asipoelewa hapa basi[emoji848][emoji848]

Mwanaume anayekupenda hawezi kukwambia hivo asee

Na akimgusia ndoa jamaaa anakosa hamu, anatamani amwambie ukweli...but iko siku atajilipua
Tumeongezeka wenye kuona wivu😂😂 wit hebu niache nibebike na shemeji yako mimi, mtizamo wangu nimeutoa, na inatosha
 
Itakua kweli hanipendi mimi pia nawaza hilo

Lakini sasa wanaume wote wanakasoro yeye kasoro yake ndio hiyo hataki kunioa naogopa nisije nikaolewa na mtu ambaye hatuendani vitu vingi huyu 99.9% vyote tunaendana tatizo ni hilo tu hayuko tayari na ananiambia kabisa sipo tayari kwasasa but i’ll marry you
Jaribu kumuacha.uone itakuwaje wanawake wengi kabla ya ndoa huwa makini sana ila baadhi yenu mkipata ndoa matatizo yanaanza tulia ndugu yangu wanaume wengi wasasa acha ninyamaze acha imani potofu eti hakupendi siunaona wenzako wanatafuta wanaume?
 
[emoji23] [emoji23] kwamba hujaelewa hapo au mpaka niandike kabisa, namaanisha hatakiwi upande wa kiumeni ila hamna ushahidi awe mvumilivu tu

hilo swala inaweza kua sababu sema mwanaume anampenda binti anaona asimuache hivi hivi kaamua kumjengea na mjengo na kumpa umiliki kwa baadhi ya mali, jamaa ni muungwan sana hamna ndoa hapo.
We una akili[emoji122][emoji122]
 
Oooh kumbe[emoji23][emoji23][emoji23] Ni mjinga pekee ndie atakaechachawa na maisha ya mtu wa kwenye mtandao wa wasiojulikana, tatizo jamii zetu Ni maskini Sana kiasi kwamba mali/vitu zinatumika km tusi kwa upande pinzani,, muhimu ni Amani ya nafsi, je una furaha na umeridhika na maisha unayoishi?
Imagine uone wivu kwa mtu humjui kisa ame mention material stuffs..yani nachekaaa..ukiongea unaonekana huna. Dah
 
Jiweke wewe upunguze utoko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]uache kutoa harufu Kama kuna paka kaozea huko ndani[emoji18]Ndio maana hupati bwana
Khaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom