witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ninong'oneze PMKuna kitu cha kiroho ningekusaidia kukufungua macho ila sababu unajitia kiburi basi utakula jeuri yako,, Kama nakumbuka vizuri hata ujauzito wa Kwanza uliuleta humu na ukakwaruzana na wachangiaji (wafukua makaburi watanisaidia hili) sasa hapo ni katka keyboard je huko mtaani wanaokujua hali ikoje!!!!