Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Aisee we dada wa ajabu Sana,kwani ukienda kupanga ukaishi mwenyewe tatizo li wapi?
Kwa mfano imetokea wewe umekufa atakupeleka wapi? Au yeye kafa ndugu zake watakuelewa? Utaambiwa umemuua tu,he Hilo utajitetea vipi,ndugu zako na zake wanakua kuwa mnaishi wote?
Nakwambia,sisi wanaume tunajuana,
HAKUOI[emoji34][emoji34]
 
Sawa
 
Hatuendani tusingekua wote sasa

Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae

Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
Subira,huku unazini?[emoji15][emoji15][emoji15]hakuna kitu hicho,akishachoka kutumia atakutimua ndo akili itakaa sawa na hakuna atakae kuona na mitoto ya mtu mwingine then,utaongeza idadi ya single mother.
Dada zetu wa kiislamu sijui aliewaroga Nani,[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Huu uzi naona una trend[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya endeleeni kucomment nitarudi zikifika 1k[emoji41]

Bila kusahau Mashangazi na wajomba mjiandae soon tunawaletea a baby boy na Baba k wangu[emoji41]
 
Ukimuacha tu fasta,anakuja kukuoa,Sasa wewe ona miaka mitatu sio mingi,
Mtoto anazaliwa mpaka anatembea wewe unasema sio mingi?
Yaani unalala nae bila ya nguo miaka mitatu[emoji15][emoji15]
Hapo hata Mimi sikuoi
 
unatak uolewe vp wee na unaishi nae
mnakuaga wehu tu
wee anza kumzalia tuu
ndoa ya nn na mnagegedana tu kila cku unalala na chupi alfu untk ndoa
wee anza kumzalia simamia majukum ako km mke achna na hayo mambo yanapoteza muda
 
Kuna waZazi wanawakataza watoto wao kutafuta maisha?? Wanajua niko huku kikazi..
Yaani kumbe mnaishi na mtu mpaka mnazaa ,mnazini,wazazi wako hawajui[emoji15][emoji15]
Kweli jamaa ni haki yake kukataa kukuoa,maana hujitambui kabisa
 
wakati unasubiri akuoe njoo mapumzko kwangu maana amekuruhusu kuachana nae
kama unahis unacheleweshwa mimi bada ya ww kunikubali tu, hapo hakuna swaum maana mnalala wote
na swaum zenu haziswihi hata kidogo.
 
Huu uzi naona una trend[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya endeleeni kucomment nitarudi zikifika 1k[emoji41]

Bila kusahau Mashangazi na wajomba mjiandae soon tunawaletea a baby boy na Baba k wangu[emoji41]
Hongera sana dada naona kuha harufu humu ya single mother wanahasira, bora kukomaa tu na maisha yako
 
Huku ww umefata kupotea kwani umekosa hata mashehe wakupe muongozo? Hum watu wanaungua na ndoa nauchumba sugu utajifunza nn hata tuseme nn hakuna anaejua ukweli wamawazo yake zaid yaye mwenyewe
 
Mkuu pole sana, ndoa ni ibada muombe Mungu sana anaweza akafungua ikawa rahis sana. Nyinyi mnaweza kuishi hivyo, mnapata dhambi ila ndio hamna namna, ila mnawakosea sana watoto kuwazaa nje ya ndoa dada angu, mbaya sana na watakosa heshima!
 
Huu uzi naona una trend[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya endeleeni kucomment nitarudi zikifika 1k[emoji41]

Bila kusahau Mashangazi na wajomba mjiandae soon tunawaletea a baby boy na Baba k wangu[emoji41]
COMMENT HII NDO NIMEONA KUMBE WEWE NI KILAZA
UNAFURAHIA UZI WAKO KUWA ON TRENDING BADALA YA KUFATA USHAURI WA WATU
KIUFUPI IKO HV UYO JAMAA AKUOI MAANA AMEICHOKA 'K' YAKO TAMBUA HVYO JIONGEZE TU.
 
Babe Samahani nimekosea,haitojirudia tena,ila tamaduni ya wakristo huwa wanaishi hadi wanapata wajukuu wanakaa pale mbele wakati babu zao wanafunga ndoa.Nisamehe nimekosa mpenzi,Mzima lakini?Karibu huku kwetu igomadete.
 
😍😍 Wakristo wanaofanya hivyo wao pia wanakosea na baadhi ya madhehebu huwa hawapewi huduma zozote za kikanisa, ni ishu pana Sana hii haifai tuijadili hapa

Anyway wewe ndie mwalimu wangu naamini umeteleza, msomali wako kakumiss sana, nitakucheck whatsup baada ya Ramadhan, futari njema kwako, love you always😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…