BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Uislamu hausemi uzini huku ukivuta subira,Kama anapo kwao Angekaa kwao,mpaka ndoa,vinginevyo,hapo ajitoe tu kwenye uislamu.Moja ya msingi mkuu wa dini ya kiislamu ni subira,vuta subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislamu hausemi uzini huku ukivuta subira,Kama anapo kwao Angekaa kwao,mpaka ndoa,vinginevyo,hapo ajitoe tu kwenye uislamu.Moja ya msingi mkuu wa dini ya kiislamu ni subira,vuta subira
Aisee we dada wa ajabu Sana,kwani ukienda kupanga ukaishi mwenyewe tatizo li wapi?Kimaisha yuko vizuri tu na mimi wala sio tegemezi kwake kila mtu anakazi zake (tunasaidiana)
Usahihi (hapo anajua yeye sasa maybe ameona mimi sio sahihi kwake)
Umri ana 35 mimi niko na 25yrs, naona hapo kwenye utayari wa kuoa kwake yeye mwenzangu bado
Kuishi pamoja, alinikuta najitegemea na yeye alikua anajitegemea, mawazo yake akasema tutafute nyumba kubwa tuishi pamoja hatukua na muda mrefu tangu tuanze mahusiano almost a month tu hivj, so kuanzia hapo hadi sasa tunaishi pamoja mkoa x
Kuzungumzia ndoa
Nimeacha
Ila as wapenzi ni kitu ambacho naona kinaniumiza na yeye ukitaka akose raha basi zungumzia kuhusu ndoa siku nzima atashinda hana furaha kwahiyo kauli yangu ya mwisho nilimwambia sitozungumzia tena kuhusu ndoa ye mwenyewe akiona sasa yuko tayari sawa
Ila ndani kwa ndani naumia sana, kuna leo na kesho hatuijui kesho yetu na bado tunazaa binafsi sipendi lakini sasa sina uwezo wa kulizuia hilo[emoji17][emoji17] sitaki hata sherehe nimemwambia tuhalalishe tu hata watoto wae wa ndani ya ndoa na tuwe tumekamilisha angalau nusu ya dini inavyotaka
Aisee we dada wa ajabu Sana,kwani ukienda kupanga ukaishi mwenyewe tatizo li wapi?
Kwa mfano imetokea wewe umekufa atakupeleka wapi? Au yeye kafa ndugu zake watakuelewa? Utaambiwa umemuua tu,he Hilo utajitetea vipi,ndugu zako na zake wanakua kuwa mnaishi wote?
Nakwambia,sisi wanaume tunajuana,
HAKUOI[emoji34][emoji34]
Subira,huku unazini?[emoji15][emoji15][emoji15]hakuna kitu hicho,akishachoka kutumia atakutimua ndo akili itakaa sawa na hakuna atakae kuona na mitoto ya mtu mwingine then,utaongeza idadi ya single mother.Hatuendani tusingekua wote sasa
Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae
Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
Ukimuacha tu fasta,anakuja kukuoa,Sasa wewe ona miaka mitatu sio mingi,Sio kuvuna majuto pia nikimuacha hivi sasa namuonea huruma dunia watamcheka maana amejitoa sana kwangu zaidi ya sana nikisema ni mangapi mema na mabaya aliyonifanyia mema ni mengi mno
Miaka 3 sio mingi panapouhai nampa huo muda ili hata nikiamua maamuzi mengine nisipate lawama
Yaani kumbe mnaishi na mtu mpaka mnazaa ,mnazini,wazazi wako hawajui[emoji15][emoji15]Kuna waZazi wanawakataza watoto wao kutafuta maisha?? Wanajua niko huku kikazi..
wakati unasubiri akuoe njoo mapumzko kwangu maana amekuruhusu kuachana naeHabari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Suala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye suala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe nafasi ndani ya muda fulani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila suala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko. Niko hoves nimechoka kuzini
View attachment 1781917
Hongera sana dada naona kuha harufu humu ya single mother wanahasira, bora kukomaa tu na maisha yakoHuu uzi naona una trend[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya endeleeni kucomment nitarudi zikifika 1k[emoji41]
Bila kusahau Mashangazi na wajomba mjiandae soon tunawaletea a baby boy na Baba k wangu[emoji41]
Unajidanganya nduguLabda wa vijijini kwenu lakini sio mjini watu wanapiga hadi 35 na bado wabichiiiii[emoji1362]
Mkuu pole sana, ndoa ni ibada muombe Mungu sana anaweza akafungua ikawa rahis sana. Nyinyi mnaweza kuishi hivyo, mnapata dhambi ila ndio hamna namna, ila mnawakosea sana watoto kuwazaa nje ya ndoa dada angu, mbaya sana na watakosa heshima!Kimaisha yuko vizuri tu na mimi wala sio tegemezi kwake kila mtu anakazi zake (tunasaidiana)
Usahihi (hapo anajua yeye sasa maybe ameona mimi sio sahihi kwake)
Umri ana 35 mimi niko na 25yrs, naona hapo kwenye utayari wa kuoa kwake yeye mwenzangu bado
Kuishi pamoja, alinikuta najitegemea na yeye alikua anajitegemea, mawazo yake akasema tutafute nyumba kubwa tuishi pamoja hatukua na muda mrefu tangu tuanze mahusiano almost a month tu hivj, so kuanzia hapo hadi sasa tunaishi pamoja mkoa x
Kuzungumzia ndoa
Nimeacha
Ila as wapenzi ni kitu ambacho naona kinaniumiza na yeye ukitaka akose raha basi zungumzia kuhusu ndoa siku nzima atashinda hana furaha kwahiyo kauli yangu ya mwisho nilimwambia sitozungumzia tena kuhusu ndoa ye mwenyewe akiona sasa yuko tayari sawa
Ila ndani kwa ndani naumia sana, kuna leo na kesho hatuijui kesho yetu na bado tunazaa binafsi sipendi lakini sasa sina uwezo wa kulizuia hilo[emoji17][emoji17] sitaki hata sherehe nimemwambia tuhalalishe tu hata watoto wae wa ndani ya ndoa na tuwe tumekamilisha angalau nusu ya dini inavyotaka
Naungana na mdau hapo juu,aliekwambia una utoto mwingiAtapunguza dhambi ya kuzini...
Na natumika kweli maana sio kwa sarakasi nazompaga
COMMENT HII NDO NIMEONA KUMBE WEWE NI KILAZAHuu uzi naona una trend[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya endeleeni kucomment nitarudi zikifika 1k[emoji41]
Bila kusahau Mashangazi na wajomba mjiandae soon tunawaletea a baby boy na Baba k wangu[emoji41]
Babe Samahani nimekosea,haitojirudia tena,ila tamaduni ya wakristo huwa wanaishi hadi wanapata wajukuu wanakaa pale mbele wakati babu zao wanafunga ndoa.Nisamehe nimekosa mpenzi,Mzima lakini?Karibu huku kwetu igomadete.Hello sweet darling,, uko sahihi sana, ila tu hapo kwenye uzinifu wake kusema anafanya ukristo nadhani Ni kujaribu kuukwepa ukweli ya kuwa kaaibisha uislam, aina yake ya uolewaji haitambuliki popote iwe ukristo ama uislam, sio busara kuhamisha magoli ulichofanya hapa ni kudhihaki ukristo,,
Yani muislamu akikosea mna tabia ya kuwakana na kuwasukumizia kwenye ukristo hamuwezi kuonyesha utakatifu wenu pasipo kudhihaki ukristo🤷
😍😍 Wakristo wanaofanya hivyo wao pia wanakosea na baadhi ya madhehebu huwa hawapewi huduma zozote za kikanisa, ni ishu pana Sana hii haifai tuijadili hapaBabe Samahani nimekosea,haitojirudia tena,ila tamaduni ya wakristo huwa wanaishi hadi wanapata wajukuu wanakaa pale mbele wakati babu zao wanafunga ndoa.Nisamehe nimekosa mpenzi,Mzima lakini?Karibu huku kwetu igomadete.
Kasema yeye hafanyi "zinaa", ameshaoa na anaishi na Mke halali wa ndoa.