Naishindaje hofu ya kifo inayoniandama?

Ahsante sana kwa ushauri mkuu..!
 
Puuzia !! Usiwe serious sana na maisha yenyewe, enjoy kila unapopata nafasi ya kufanya hivyo
Kufa ni lazima mkuu , i hate the idea ya kwanini tunazaliwa na kuja kufanya struggles zote hizi huku kifo kinatusubiri muda wote.
Kweli kabisa aisee, nakubaliana na wewe.
 
Nimeona bandiko lako,kwanza nikupe pole,Wewe Ni mkristo kwa sababu unaenda kanisani,ushauri rahisi ninaokupa mpokee Bwana Yesu Kama Mwokozi wako,halafu mtwike yeye fadhaa Zako zote, ninaamini hofu yote itatoka . Yesu mwenyewe anasema You 14: 1 Msifadhaike mioyoni mwenu munamwamini Mungu Baba munismini na Mimi nyumbani mwa Baba yangu Kuna makao mengi
 
Hahaha jomba unaogopa kifo kweel!!! duh kuwa serious basi tutaongea yoote ila tatZ umejikita sana huku
 
Tafuta binti wa kizaramo ama kimakonde akuchangamshe mkuu, ukifia kwenye kinena umekufa kiume! Kiroho tunasema unachokifanya sasa ni ku bypass kifo chako mkuu, unaki cheat, yaani unaitwa lakini hutaki kuitika, bado uko na mission hujaimaliza, ukiikamilisha hata usipolala kitakukuta ukiwa macho..ni suala la Muda tu, wewe lazma UFE TU! ( Kama ulizaliwa na mwanamke ) ngoja nilegeze maneno mkuu

Sote kifo ni lazima, ili tuishi tena.
 
Mara nyingi nikitoka kwenye mihangaiko yangu, narudi ghetto kwangu ambapo naishi peke yangu, so mida ya kuanzia saa moja usiku kuendelea most of the time huwa nakuwa peke yangu.
Tatizo linakolezwa na hiki kitu, upwekwe kama huna uwezo wa kuji keep busy na vitu kama movies, games, talking with friends, kujirusha na ku chill kwenye viwanja vya kurudani etc it's very dangerous kama kuna kitu kinasumbua ubongo wako...
 
[emoji112][emoji1666][emoji120]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Anza kunywa pombe na usiku uwe unajichanganya kwenye makumbi ya starehe utokaa ukiwaza uwo ujinga kamwe
 
Ondoa mawazo ya kufa kufa. Kifo kipo kwa uhakika. Usali, usisali haibadili lolote.
 
Tafuta wataalamu wa saikolojia ndugu yangu, pia omba kwa imani yako hofu iondoke.
 
Nenda kanisaninpale kwa mcgungaji katunzi mbagala stand ya shamba hapo ndugu utaombewa utapona
 
Mkuu, maiti inawezaje tena kuogopa kifo?
Kimsingi wanadamu wote ni maiti zinazotembea.
Ili tupate tumaini la uhai, lazima tujifiche kwa Yeye aliyekufa kisha akawa hai tena milele!
 
Tafuta demu usiku muwe mnachati na mara Moja moja una mwagilia Shamba lake naamini utafikiria hayo mambo ya kufa kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…