Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

Hapana tatizo sio kazi tatizo ni malipo na muda anaoutumia kuifanya hio kazi havilingani, huo ni zaidi ya utumwa hata arabuni hawafanyi hivyi, we mwarabu au?

Watu wanafanya tena wengi sana
 
Jiandae kupigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…