Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

Mkuu pitia sheria za kazi kidogo ujue mfanyakazi anastahili kufanya kazi masaa mangapi kwa siku. La sivyo utakuja kufungwa kwa utumwa.
 
Nataka mtu afanye na yy apate
Emu nikuulize mkuu hio kazi chakula unampa free na malazi unampa free, yaan unamlisha na unamhudumia sehemu pa kulala, mavazi ya ofisini unampa, nk au ndio kwenda na kurudi na nauli na chakula ni juu yake?
 
Serious?
 
Kijana wa kazi wa nyumbani kwako unamlipa sh ngapi? Analala saa ngapi? Anaamka saa ngapi? Anafanya kazi ngapi? Masaa mangapi?
Mazingira ya kazi yako na mazingira ya kazi ya dada wa kazi ni tofauti. Unampa dada 50k, anakula kwako, analala kwako, akiumwa unamtibia na bado vichenchi vikibaki vyake na ana muda mwingi wa kupumzika ukilinganisha na hiyo kazi yako.

Kweli kazi hamna ila tuhurumie wanaotusaidia kazi aiseee. Laki 1 kwa masaa 17 kwa siku ni uonyonyaji

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kazi ya laki moja na yenyewe ni ya kuitaji siviiii......?? Maana CV zinaombwa kwenye ajira kweli hiyo hata kikoba kinalipa pesa nyingi
 
Hata hii kazi anapata muda mwingi wa kupumzika because sio muda wote kuna wateja na yy kazi yake ni kurecord tu amekaaa kwenye kiti na meza
 
Hivi kazi ya laki moja na yenyewe ni ya kuitaji siviiii......?? Maana CV zinaombwa kwenye ajira kweli hiyo hata kikoba kinalipa pesa nyingi

Nimesema alie maliza form 4
 
Emu nikuulize mkuu hio kazi chakula unampa free na malazi unampa free, yaan unamlisha na unamhudumia sehemu pa kulala, mavazi ya ofisini unampa, nk au ndio kwenda na kurudi na nauli na chakula ni juu yake?

Anakula bure asubuhi mchana na usiku tena msosi anachagua mwenyewe hakuna mambo ya chakula cha wafanyakazi
 
Anakula bure asubuhi mchana na usiku tena msosi anachagua mwenyewe hakuna mambo ya chakula cha wafanyakazi
Bado haujamaliza kuyajibu maswali yote niliyoyauliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…