Mkuu pitia sheria za kazi kidogo ujue mfanyakazi anastahili kufanya kazi masaa mangapi kwa siku. La sivyo utakuja kufungwa kwa utumwa.
Basi andiko lako ungelijaza nyama nyama maana limekaa km skeleton, kila atakaelisoma ataishia kukulaumu maana maelezo yako hayajajitosheleza, kuna maelezo yana-miss andika vizuri,Naweza kuwa nampa posho za nauli no problem
Basi andiko lako ungelijaza nyama nyama maana limekaa km skeleton, kila atakaelisoma ataishia kukulaumu maana maelezo yako hayajajitosheleza, kuna maelezo yana-miss andika vizuri,
Kitaa Ni kigumu Sana ,,,
Wanaokuzodoa wengi Wana kazi !
Mkuu, kwa huo mshahara may be umpe chakula , nauli au alale kwako !!!
Alafu sikushauri Sana utafute kijana wa.kazi mitandaoni !!! Huna ndugu? Jamiii unayoishi VP ? Kijjn kwenu ? Au born town ,,, unapoabudu ??? Majirani ? Kote huko huwezi kosa kijana
Kila la kheri
Weka mawasiliano watu wakutafutie vijana wa kazi hiyiNaitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant
Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo
Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku
Chakula free
Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi
Salary LAKI MOJA
ALie tayari DM
Ndio ungeandika pale juu sasa kwenye andiko, watu wakusome fanya editing elezea kwamba utampa nauli ya kwenda na kurudi na chakula utampa free, asubuhi, mchana na usiku na yeye kazi yake itakua ni kuandika Mauzo na Mahitaji basi au kutakua na kazi nyingine ya kufuata mizigo sokoni?Yan yy kazi yake anakaa kwenye meza na laptop kama anajua kutumia au daftari, anataka records za mauzo yote na wakati wa kufunga anajua nn kesho kinaitajika na hesabu ziko sawa
Kama hakuna wateja anaangalia movie tu
Amekuja mtaandaoni atayapata ya mtandaoni...Kitaa Ni kigumu Sana ,,,
Wanaokuzodoa wengi Wana kazi !
Mkuu, kwa huo mshahara may be umpe chakula , nauli au alale kwako !!!
Alafu sikushauri Sana utafute kijana wa.kazi mitandaoni !!! Huna ndugu? Jamiii unayoishi VP ? Kijjn kwenu ? Au born town ,,, unapoabudu ??? Majirani ? Kote huko huwezi kosa kijana
Kila la kheri
Wewe hujaelewa mkuu, maelezo aliyotoa hayajajitosheleza ndio maana watu wamehoji kwani kuhoji ni vibaya?Kitaa Ni kigumu Sana ,,,
Wanaokuzodoa wengi Wana kazi !
Mkuu, kwa huo mshahara may be umpe chakula , nauli au alale kwako !!!
Alafu sikushauri Sana utafute kijana wa.kazi mitandaoni !!! Huna ndugu? Jamiii unayoishi VP ? Kijjn kwenu ? Au born town ,,, unapoabudu ??? Majirani ? Kote huko huwezi kosa kijana
Kila la kheri
So hiyo posho ya 3000+ kwa siku uliipanga kwa kutazama watu hawana ajira au ulipanga kwa kuzingatia stahiki ya malipo anayotakiwa lipwa mtu kama ujira wa kazi yake.Ww una kazi ndio maana unaweza kusema hivyo, maisha yapo tofauti sana
Sasa gharama zako zinahusiana vipi na posho ya msaidizi wako?! Yaani wewe unatakiwa ujilipe mwishoni kabisa sio msaidizi wako alipwe mwisho.Laki moja means nimepiga gharama zangu zote za uendeshaji au unataka me nipate hasara kwa ajili yake?
Mkuu hata kama kuna uhaba wa kazi tujitahidi kuwa fair kwa watu tunaowaajiri, ni kweli utampata na atafanya kwa ajili ya shida ila kiubinadamu sio sawa.Ww una kazi ndio maana unaweza kusema hivyo, maisha yapo tofauti sana
Sasa kwangu ndio naanza boss but Kwa vile ww ni mtaalam, nitakudm unaweza kunishauri mambo mengi mazuri ya biasharaMkuu hata kama kuna uhaba wa kazi tujitahidi kuwa fair kwa watu tunaowaajiri, ni kweli utampata na atafanya kwa ajili ya shida ila kiubinadamu sio sawa.
Nikupe experience nina biashara kama yako pia ya restaurant na ninaifanya kwa masaa 24, wadada wanakuja kwa shift yule atakaekuja saa 1 asubuhi ikifika saa 12 jioni amemaliza kukusanya pesa anaondoka na ninamlipa 5000 kwa siku sawa na yule anayeingia usiku saa 1 akatoka saa 12 asubuhi.
Kuna mmoja akajiongeza anakuja asubuhi saa 1 ikifika saa 12 anapika chakula anaenda kuuza stendi mpaka saa 4 au usiku kiukweli nilikuwa nampa 7000 kila siku mpaka siku nyingine 10000. Nao wanapata moyo wa kufanya kazi na atakupa idea za kuendeleza biashara yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes very serious
-sheria inasema kwa wiki yasizidi masaa 45, kwa siku ni masaa 9 kwa anayefanya kazi siku 5Sasa saa moja asubuhi si ndio muda wa kwenda kununua vitu? And restaurant unaweza kufunga saa mbili?