Mbona kubwa sana. House girl anakaa na watoto tena anampikia mpaka chakula baba mwenye nyumba analipwa 30k sembuse huyu cashieYaani mtu anakutunzia fedha unamlipa 100,000...!! Ndo maana mnaibiwa
Housegirl gani analipwa elfu 30? Huo ni uonevu. Kuna mishahara Yao hasta kama wanakaa nyumbaniMbona kubwa sana. House girl anakaa na watoto tena anampikia mpaka chakula baba mwenye nyumba analipwa 30k sembuse huyu cashie
House girl anakula na watoto...anapata muda wa kupumzika. Halipi nauli kila siku, haendi kupika kwake...Mbona kubwa sana. House girl anakaa na watoto tena anampikia mpaka chakula baba mwenye nyumba analipwa 30k sembuse huyu cashie
Karibu sana mkuu, tena biashara kama hii huwa wanalipa kwa siku, hii inakusaidia pia unavyofunga mahesabu unajua umemalizana na kila kitu.Sasa kwangu ndio naanza boss but Kwa vile ww ni mtaalam, nitakudm unaweza kunishauri mambo mengi mazuri ya biashara
Form 4 unamchukuliaje wewe mbwiga.......hivi hata kama ungekuwa wewe form 4 ungekubali laki ..........??.......tumia akili yako Kwa ujumla ..........Nimesema alie maliza form 4
Housegirl gani analipwa elfu 30? Huo ni uonevu. Kuna mishahara Yao hasta kama wanakaa nyumbani
Form 4 unamchukuliaje wewe mbwiga.......hivi hata kama ungekuwa wewe form 4 ungekubali laki ..........??.......tumia akili yako Kwa ujumla ..........
Bosi kama ujui mambo tulia Tu, kuna madogo pale sinza wanamenya viazi usiku mzima wanalipwa elf 2
Amekuja mtu amemaliza IFM bank and finance kuomba hii kazi so kaa kimya ujui vitu
Saa moja asbuh mpaka saa tano usiku lakimoja du??? We jamaa hatari...unaanza vipi kumfiklia mwezako hivo??? Euros kama 35,mshahara wa masaa wawili wa kiwango cha chini Western Europe...muweke nduguyako na umwambie mshahara kura na kulala hiyo laki mpe atumie siku za mapumziko kama zipo.Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant
Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo
Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku
Chakula free
Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi
Salary LAKI MOJA
ALie tayari DM
Saa moja asbuh mpaka saa tano usiku lakimoja du??? We jamaa hatari...unaanza vipi kumfiklia mwezako hivo??? Euros kama 35,mshahara wa masaa wawili wa kiwango cha chini Western Europe...muweke nduguyako na umwambie mshahara kura na kulala hiyo laki mpe atumie siku za mapumziko kama zipo.
Kusema ukweli ndio dharau??? Fanya wewe hiyo kazi ya masaa kumi na saba kwa 3300...Huna huruma na binadamu wenzio?? Vitu kama hivi vikomeshwe wala sio vya kuviacha..Acha dharau ww
Nilita kusema hivi aisee...Kama mgahawa wako unafika hadi saa tano usiku hapo ni lazima uweke shift mbili maana hata wahudumu hawawezi kuvumilia kufanya kazi kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tano usiku,
Hautafika mbali na biashara yako kama upo serious kweli basi tengeneza mazingira rafiki kwa wahudumu ili wateja wapate huduma nzuri na bora.
House girl hafanyi kazi masaa 17, anapangilia kazi zake anapata muda mzuri wa kupumzika,Mbona kubwa sana. House girl anakaa na watoto tena anampikia mpaka chakula baba mwenye nyumba analipwa 30k sembuse huyu cashie
Na ndio migahawa yote inayofanya kazi hadi usiku wanafanya hivyo, kinachoangaliwa ni huduma itoke vizuri kila mtu aridhike (mmiliki, muhudumu na muhudumiwa)Nilita kusema hivi aisee...
Kila mtu afanye kazi part time hata kama huo mshahara akiugawa..
Mtu anaingia saa1 mpaka saa8 anasepa zake anaendelea na michongo mingine