deonlyme1
Member
- Dec 18, 2014
- 84
- 114
Sio ndio hapo cjui anataka afe nacho
Acha kudenguaa mpelekee nambaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudenguaa mpelekee nambaa
My wangu hapana eti[emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji39]ntaka namba ako baby
Uje umlishe mrenda na maharage mtoto wa watu apate vidonda vya tumbo bure[emoji847][emoji1787][emoji1787]Hahahahahaha...
Pesa ya kuhonga mwamba sikosiii...[emoji7]
Unaonekana tu we ni chairman wa UWABATA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahaha...
Pesa ya kuhonga mwamba sikosiii...[emoji7]
Mtu mwenyewe member wa UWABATA etiAcha kudenguaa mpelekee nambaa
Mtu mwenyewe member wa UWABATA eti
My wangu hapana eti[emoji1787][emoji1787]
Kitu kama nimetumwaUna nsingizia au umetumwa na mabeberu[emoji28]
Ha ha ha ha Ha baby Fanc kuna kipengele hapo kinasemaWeeee kwanza kanitisha alivyo sema ucku wa manane apokee simu maana kaweka msisitizo kabisaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza huyo mkaka me nadhani mi nayeye hata masaa 24 hayawezi pita tutakua tusha gombana
Pole na weweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akukubalie nani mashari kama mganga wa kienyeji pole[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]mseleleko
Hahahahahaha Koromije...KWA ela gani ulo kua nayo labda umpeleke kwenu koromije [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Ajui kama atakufa nalooo...[emoji23]Sio ndio hapo cjui anataka afe nacho
Ha ha ha ha hapaUje umlishe mrenda na maharage mtoto wa watu apate vidonda vya tumbo bure[emoji847][emoji1787][emoji1787]
Umoja wa wanaume bahili Tz HahahahahahaUnaonekana tu we ni chairman wa UWABATA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikupeleke wapi we bashite mdogo chairman wa UWABATA sikutaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha ha Ha baby Fanc kuna kipengele hapo kinasema
'Amsome mtu na ajue kuishi nae...
So bado vigezo hunaaa...
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ukute unafugwa na mamayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji22]Ha ha ha ha hapa
Mlenda si ujui zaidi ya Rost maini chapati
Wali biriani Saladi
Nyama ya kuku ya kuokwa na Wine line.
Dm fast uchambe koo na vitu laini
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hiiii we mama mbona unajichanganyaaa...Nikupeleke wapi we bashite mdogo chairman wa UWABATA sikutaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kipengere kibovu kama wewe nikujue ili iweje? Uringe!!!Umoja wa wanaume bahili Tz Hahahahahaha
Najua unataka kunijuaa ila komaa...
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kufugwa ndo ninii bibiee...Ukute unafugwa na mamayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji22]