Naitaji mwanamke huru

Naitaji mwanamke huru

Ningemchamba tu na hata siuoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamchambaje na ukute mwenzio kama wewe kasha nasa katika ndoano ya mwamba...
Tena saa usikute anapelekewa motoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Naitaji mwanamke huru wa kuchart nae ku shair nae story free.

Naitaji mwanamke mjanja mwenye mbinu na anae jua hesabu ili kukokotoa changamoto.

Napenda nipate mwana dada ambae yuko tayari kupokea simu yangu hata kama ni usiku wa manane.

Napenda awe rafiki angu ambae sito sita kumueleza kinacho nikwaza kunikera na yeye akanisaidia na hata kunielewa.

Napenda awe muelewa wa kumtambua mtu jinsi alivyo na kuishi nae bila misuguano.

Natamani awe na fani yoyote ambayo itamfanya awe na uzoefu kadri siku zinavyo songa na mimi ni msaidie kidogo kwa uwezo wangu.

Natamani awe anasoma vitabu na kuangalia move mbali mbali.

Napenda awe mtu wa michezo kucheza kwake iwe kawaida mazoezi ya mbio na stretching mbali mbali.

Natamani awe anaakili sanaaaaaa...!!?

Mwenye sifa hizi kwakwe nampenda na aje PM.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Fatma kalume aka shangazi atakufaa kwa sifa hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha nikomaeee labda Fanc weweee uka kaa kwenye njia watu tukapitaa na weweee😂
 
Back
Top Bottom