Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
- Thread starter
- #141
Mi naitaji mdada na sio mke...Simu za saa nane za usiku ww ni mlevi ,ww mwenyewe una fanya mazoezi taja sifa zako ww kwanza Mwanamke mwenye sifa hizo bongo hajazaliwa bado tafuta pesaaaaaa utamuondesha unavotaka kwa pesa zako bongo wanawake wavivu kufanya mazoezi ni wachache sana.
Mke ni another case babuu.
Wanawake wakibongo wavivu hata mlevi mbwa anapiga na kubakaa.
Sasa type hiyo ya mwanamke kwangu no...!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app