Naitaji mwanamke huru

Naitaji mwanamke huru

asubutu.

Huoni elements za kuliwa masikhara mkuu.

Hizo stretching unafikiri ni za kazi gani?

Eti amuelewe mtu alivyo na aishi nae bila misuguano, hii sio kwamba yeye ni kadinyaji kweli kweli sasa akuvumilie?

Na hiyo kuwa free na kupokea simu usiku wa manane je? Ni ili aibuke muda wowote apige free P ya fasta asepe bila misuguano ya kugandana.
Hujawahi kukubali kuna mwanaume mwenye nia njema kwa mwanamke hata siku na moja.
NikuUlize waNauMe tulikokoseaga nini kikUbwa ?
 
Ana zali la kuliwa kimasihara kila wakatii[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mimi simuelewi hata, negative attitude all the time.
Aiseeee ni noma
Sijui mwanaume aongee nini ndio awe mwema kwake.

Ila huo ni ujinga tu, masilent killer najua wanajichapia tu huko 😂
 
Mimi simuelewi hata, negative attitude all the time.
Aiseeee ni noma
Sijui mwanaume aongee nini ndio awe mwema kwake.

Ila huo ni ujinga tu, masilent killer najua wanajichapia tu huko [emoji23]
Hahahahahaha unataka kusema hii wiiki haija isha hivi hivi kwakweli...???

Naamanisha alidambuliwaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie mbulukenge wa TZ siwataki hamjui hata mahaba mpompo tu kutwa kuwaza ngono [emoji57][emoji57][emoji57][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko ila msinimind
Hahahahahaha Mbulukengeeeehh[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila pole kama hukupata mahaba jamaniii...

Any way fungua Foil ule mahaba ya mzeiaa hapaa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hujawahi kukubali kuna mwanaume mwenye nia njema kwa mwanamke hata siku na moja.
NikuUlize waNauMe tulikokoseaga nini kikUbwa ?
🤣🤣🤣🤣

Basi hujanijua vizuri.

Nilishasema sana kwamba there are good men out there.
 
Naitaji mwanamke huru wa kuchart nae ku shair nae story free.

Naitaji mwanamke mjanja mwenye mbinu na anae jua hesabu ili kukokotoa changamoto.

Napenda nipate mwana dada ambae yuko tayari kupokea simu yangu hata kama ni usiku wa manane.

Napenda awe rafiki angu ambae sito sita kumueleza kinacho nikwaza kunikera na yeye akanisaidia na hata kunielewa.

Napenda awe muelewa wa kumtambua mtu jinsi alivyo na kuishi nae bila misuguano.

Natamani awe na fani yoyote ambayo itamfanya awe na uzoefu kadri siku zinavyo songa na mimi ni msaidie kidogo kwa uwezo wangu.

Natamani awe anasoma vitabu na kuangalia move mbali mbali.

Napenda awe mtu wa michezo kucheza kwake iwe kawaida mazoezi ya mbio na stretching mbali mbali.

Natamani awe anaakili sanaaaaaa...!!?

Mwenye sifa hizi kwakwe nampenda na aje PM.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Simu za saa nane za usiku ww ni mlevi ,ww mwenyewe una fanya mazoezi taja sifa zako ww kwanza Mwanamke mwenye sifa hizo bongo hajazaliwa bado tafuta pesaaaaaa utamuondesha unavotaka kwa pesa zako bongo wanawake wavivu kufanya mazoezi ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom