Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
- Thread starter
-
- #141
Mi naitaji mdada na sio mke...Simu za saa nane za usiku ww ni mlevi ,ww mwenyewe una fanya mazoezi taja sifa zako ww kwanza Mwanamke mwenye sifa hizo bongo hajazaliwa bado tafuta pesaaaaaa utamuondesha unavotaka kwa pesa zako bongo wanawake wavivu kufanya mazoezi ni wachache sana.
Wewe mwanamke una gubu sana sikuweziπ€£π€£π€£π€£
Basi hujanijua vizuri.
Nilishasema sana kwamba there are good men out there.
Fancy umelala mbeleee....???[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie mbulukenge wa TZ siwataki hamjui hata mahaba mpompo tu kutwa kuwaza ngono [emoji57][emoji57][emoji57][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko ila msinimind
Hapana nyuma
Na huna lolote umenimic tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko
Kumbe ganda la ndizi unajuaa unalooo...Na huna lolote umenimic tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko
Umesema utanipeleka dubai ee?Kumbe ganda la ndizi unajuaa unalooo...
Acha niseleleke nalooo
Sio Dubai tuu na Paris Ufaransa bebiiiUmesema utanipeleka dubai ee?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nacheka kama mazurSio Dubai tuu na Paris Ufaransa bebiii
Wewe mwanamke una gubu sana sikuwezi
He...! Wee kupaa na kwenda kwenye mitaa ya wazungu kutalii kama Wolper unasema si mazurii...???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nacheka kama mazur
Kwenda huko, huna maajabuOnly an Alpha can.
ππππKwenda huko, huna maajabu
Na kweli.Kwenda huko, huna maajabu
Asantee ma Dearendelea bestito utampata aliye huru ila awe mwaminifu tu
Dah..endelea bestito utampata aliye huru ila awe mwaminifu tu