Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Wewe ni hatari kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Shuka mambo mkuuu. Ungekuwa unaweka na miaka.
Mkuu ilo nililifikiria mwanzon kabisa kabla sijapost kipande cha kwanza. Niliamua kutoweka miaka, majina ya sehem niliyotoka, niliposomea n.k ili kuficha ID yangu maana kuna watu kumbukumbu zao ziko vzr, wanaweza kunijua... Lakini pamoja na hayo yote, kuna mshikaji mmoja amenijua [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],ameni pm jina la mzee wangu. Badae nitakwambia imekuwaje akanitambua.
 
Hahhahaha jamani watu nao hawana dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…