Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Mkuu ulipogusia songea hasa maeneo ya MPITIMBI umenikumbusha mbali Sana n eneo ambalo mzazi wangu alianzia Kaz na kunipata mm Kama mwanae nimeish mpitimbi kwa miaka 10 tukahamia Arusha

Story nzuri sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nimesota Sana kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Vipi barabara zishakuwa nzuri siku hizi?
 
Nimesota Sana kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Vipi barabara zishakuwa nzuri siku hizi?
Na mda mrefu Sana sjaenda huko nikipata nafas kwenda songea huwa naishia peramiho ndio home japo nasikia kumebadirika Sana sababu hata hospital ya wilaya ya songea vijjin imejengwa huko

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ni kwamba hatimae umeiona. Siunajua humu story ni nyingi
Pia sababu imewekwa jukwaa la mapenzi ndio maana sikuiona,huku nimeanza kuingia majuzi tu nilikuaga napotezea hili jukwaa
 
Waooo!mmefurahi sana aseehh!mmejifunza kitu!
 
"Dunia ya leo kila unayemuona anamatatizo yake kiasi kwamba anakosa hata muda wa kukuonea huruma ww. Hivyo unapoongea na watu tegemea sana msaada wao,ila usitegmee huruma yao." Asante sana [emoji1431]

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…